Recent content by Chajo

 1. C

  Kinachoiponza Tanzania ni mashitaka dhidi ya mwana habari Erick Kabendera, ni kama marehemu Jamal Khashoggi (Mwanahabari)

  Nyie wanafiki sana. Kama unayoyasema ni kweli mbona mnamshtaki kwa kutakatisha fedha?
 2. C

  How the Dreamliner is Killing Tanzanians dream?

  Mleta mada nimependa uandishi wako na utaalamu wako wa lugha ya malkia. Pascal kaona nyota nyota akakurupuka na ma thread yake yake ya propaganda za kujipendekeza ili apate ukuu wa wilaya.
 3. C

  Fatma Karume asimamishwa kufanya kazi za Uwakili Tanzania Bara kwa kosa la kuishambulia ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG)

  Wewe joga sana. Tafadhali usiamnukize watu uwoga wako huo wa mpaka unajikojolea!
 4. C

  USHAURI, Lissu asigombee urais Hawezi kushinda!

  Hivi mtu akigombea nafasi lazima ashinde? MaCCM akili mmepeleka wapi?
 5. C

  Magufuli duniani Leo

  "Tuna Rais wa ajabu..." - Lissu
 6. C

  Vitambulisho vya wamachinga vyaingiza Bilioni 20. Dar yaongoza, RC Makonda apongezwa

  Maccm hayakusoma hesabu hayajui hata za proportionality!
 7. C

  Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Amos Makalla. DC wa Tunduru, Juma Homera ateuliwa kuwa RC mpya

  Niliposoma Magufuli atengua mkuu wa mkoa....nikakimbilia kusoma nilidhani ni li Bashite kumbe ughrrr
 8. C

  Kutokana na maji kujaa eneo la Jangwani na Bonde la Mkwajuni, Udart yasitisha Safari za Mabasi yake.

  Usijaribu kutumia English kama hujui. Ona sasa ulichoandika!
 9. C

  Sweden kupitia upya misaada yake inayotoa kwa Tanzania! Yapata wasiwasi na maendeleo ya Demokrasia nchini

  Kama ni kweli Dr. Slaa arudishwe nyumbani maana tulidhani atawalazimisha wasweden kuunga juhudi za jiwe kama yeye alivyofanya kumbe amekalia matanuzi tu na baby wake, kha!
 10. C

  Sweden imekasirishwa kuona Tanzania ikipokea maelfu ya watalii kutoka China?

  Wachina wengi siyo wastaarabu ni wachafuzi wa mazingira sana labda ndiyo maana hao wasweden waliwatimua
 11. C

  Kutokana na maji kujaa eneo la Jangwani na Bonde la Mkwajuni, Udart yasitisha Safari za Mabasi yake.

  Hujui unachoongea. Unataka wataalamu wakae tena kwa kuwa kuna mapesa ya yasiyo na kazi? Fursa ya utatuzi ndiyo hiyo project ya BRT walipaswa waitumie vizuri lakini waliichezea kwa sababu aliyekuwa waziri wa ujenzi yeye alikalia mambo ya kukurupuka tu na sasa anajiita jiwe! Shame on Maccm yote!
 12. C

  Kutokana na maji kujaa eneo la Jangwani na Bonde la Mkwajuni, Udart yasitisha Safari za Mabasi yake.

  Aliyesimamia ujenzi wa hizo barabara alipaswa kuwa korokoroni hadi sasa. Hilo daraja la Jangwani lilipaswa kuwa juu kuepuka hizi kadhia za miaka na miaka. Nina hakika angekuwa mwingine angeshahusishwa na tuhuma za upigaji. Anyway, nasikia malaika haguswi!
 13. C

  Tafadhali sana Rais Magufuli, piga marufuku Instagram nchini

  Mtoa mada, kazi ya TCRA nini?
Top Bottom