Recent content by chaji

  1. chaji

    Biashara itakayo kutoawakati huu Wa jpm

    Napenda kuuza nguo mikoba viatu na urembo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. chaji

    Biashara itakayo kutoawakati huu Wa jpm

    Fafanua kdgo mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. chaji

    Biashara itakayo kutoawakati huu Wa jpm

    Naeshimu mawazo yenu naandika hpa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. chaji

    Biashara itakayo kutoawakati huu Wa jpm

    Asanteni kwa ushauri wanajf mpo wengi jmn njooni tuendelee bado na fatilia mawazo yenu muhimu kwangu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. chaji

    Biashara itakayo kutoawakati huu Wa jpm

    Nasoma coment zenu karibuni mliobado kutoa mawazo yenu tuendelee Sent using Jamii Forums mobile app
  6. chaji

    Biashara itakayo kutoawakati huu Wa jpm

    Wakuu heshima kwenu ndg zangu, wakubwa shikamooni lika langu habari zenu. Baada ya salamu naomba niwape pole kwa majukumu mbali mbali na hongera kwa utekerezaji wa majukumu hayo. Kilichonileta kwenu ndg zangu, naomba mchanganuo wenu wenye wazo au mawazo ya biashara ambayo nikiiifanya itanitoa...
  7. chaji

    Naomba msaada kuhusu biashara ya kuuza na Kubadilisha gesi

    Wakuu, Nataka kuanza biashara ya kuuza gesi za majumbani naomba mwongozo walau mtaji kiasi gani na biashara inafanyika vip Sent using Jamii Forums mobile app
  8. chaji

    Kozi yenye soko la ajira kwa kipindi hiki.

    Angalia ufaulu huo haukidhi vgezo
  9. chaji

    Kozi yenye soko la ajira kwa kipindi hiki.

    Nursing wanaitaji masomo ya sayansi na mimi nina masomo ya art kwa somo la sayansi ni biology tu ndio nina credit nalo
  10. chaji

    Kozi yenye soko la ajira kwa kipindi hiki.

    Wazo zur mkuu lkn sijaplane ....rabdaikishindikana sana nipe wazo la kujiajiri na nishughulike na kitu gani
  11. chaji

    Kozi yenye soko la ajira kwa kipindi hiki.

    Mbali na kurudia ....naomba mwenye ushauri tofauti na huo wa kurudia
  12. chaji

    Kozi yenye soko la ajira kwa kipindi hiki.

    Habari ndugu zangu,....mimi ninaomba kwenu mchango wa mawazo kulingana na hali hali halisi ilipo kwa sasa , je nikozi gani ambayo mtu mwenye ufaulu alama D 4, ambazo ni kwa masomo ya Art isipokuwa somo la biology nalo lipo na kukamilisha hizo D4. Naomba sana ushaur wenu je kozi ipi itafaaa...
Back
Top Bottom