Recent content by chai_nazi

  1. chai_nazi

    JamiiForums Tanzania Video za nyimbo 10 bora za wakati wote zilizoweza kufikisha ujumbe kama ilivyokusudiwa

    Mack Muga by Alikiba
  2. chai_nazi

    JamiiForums Tanzania Nina safari ya kwenda Bukavu nchini Congo, naomba taarifa za Mji

    Sijafika huko lkn naona umeeleza vizuri sana mzee baba[emoji120]
  3. chai_nazi

    JamiiForums Tanzania Thailand: Jamaa aumwa nyeti zake na nyoka akiwa msalani

    Alikuwa anatazama pilau chooni huyo
  4. chai_nazi

    JamiiForums Tanzania Faza Nelly: Nuru ya Hip Hop iliyozima kwa Kupigwa Kisu

    Dah umetukumbusha tena hili tukio[emoji22] Rest in peace Nelson[emoji120]
  5. chai_nazi

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea kwa Gwajima na Shehe Majini kiwe fundisho kwa wananchi

    Hana Msikiti, hatambuliwi na taasisi yoyote ya Kiislamu, sio na hajawahi kuwa Sheikh (Sheikh ni Daraja kubwa katika Uislamu). Huduma zake za kitapeli na Uganga anazifanyia Mabibo, ndipo kwenye ofisi zake!
  6. chai_nazi

    JamiiForums Tanzania Aliyefanikiwa kupata namba yake ya utambulisho NIDA kupitia tovuti atoe ushuhuda

    Jaza taarifa sahihi kama ulizojaza kwenye fomu, mimi nilifanikiwa kupata namba na kopi ya kitambulisho kupitia tovuti yao Sent using Jamii Forums mobile app
  7. chai_nazi

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukiogelea haya maeneo Matatu ya Bahari ya Hindi ( Dar es Salaam ) ni lazima tu utazama na hata Kufa?

    Una umri gani? Au utakuwa mbugila ww[emoji23]
  8. chai_nazi

    JamiiForums Tanzania Hassan Aziz akamatwa na madawa ya kulevya 1kg

    Ahsante!!!
  9. chai_nazi

    JamiiForums Tanzania Wataalam na bunduki

    RPG.!?
  10. chai_nazi

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu kifo cha kijana Kigamboni

    Mimi huwa naamini sana kwenye kisasi, nikikukosa ww basi hata mwanao/mkeo hata mamako mzazi!!! hakuna mahakama wala polisi itakupa haki!
  11. chai_nazi

    JamiiForums Tanzania Huyu Polisi wa zamani Marehemu Mkama Sharp alikuwa na Kipaji gani ambacho Polisi wengi wa sasa hawana?

    "Kimbiaaa" kimbiaaa" mkama shapu anakujaaa"
Back
Top Bottom