Recent content by chai jaba

  1. C

    Jambo leo: Mtwara wakubali gesi itoke.

    Ndio CCM WAMEANDIKA HAYO LEO.
  2. C

    Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    Kwann serikali isiweke mambo wazi,hii hali hadi lin jaman.na pia kila mtu achinje vya kwake kwa sababu waislam wameishaona kuwa ndio wenye haki.pia bado swala la kuvaa hijabu mashulen kwann wanafunzi wote wasiwe sawa,lakin wenye haki sana.
  3. C

    Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    Tuwaachie kazi.kiuhalisia hata kama ni uongo wasingeweza kumuaacha lazima ahojiwe.
  4. C

    Wajaluo jirekebisheni hizi tabia mnapochangamana na jamii nyingine

    Usiombe mjaluo akawa ndiye bosi wa shirika au kampuni atawapendelea wajaluo wenzake wazi wazi pia hata "staff" wake wengi watakuwa ni wajaluo mpaka mfanya usafi.
Back
Top Bottom