Recent content by Chagga King

  1. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali okoeni watumishi kwenye mikopo kupitia ESS, wengi hawana uelewa wa hii mikopo. Riba mpaka 40%

    Kwahiyo walioweka hizo percentage ni wajinga kwamba hawapati wateja, try to understand
  2. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali okoeni watumishi kwenye mikopo kupitia ESS, wengi hawana uelewa wa hii mikopo. Riba mpaka 40%

    Hiyo picha nimeweka ni mfano ukitaka kuchukua mkopo wa 10yrs, wala siyo ya mkopo halisi, kama huelewi omba uelekezwe, usikurupuke kutoa majibu ya hovyo. We umeona kuna mkopo uliochukuliwa hapo?
  3. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali okoeni watumishi kwenye mikopo kupitia ESS, wengi hawana uelewa wa hii mikopo. Riba mpaka 40%

    Umesema vizuri sana, ila nataka nikuambie kuwa, kuna watumishi wengi sana ambao wametupwa mbali na wakati. Kuna watumishi hawawezi kujaza PEPMIS au kutumia tu ESS, kutuma email, n.k. Na kwakuwa uombaji wa mikopo wengi hufanya siri, sasa hapa ndio wengi huumizwa, we jiulize tu kama zipo taasisi...
  4. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali okoeni watumishi kwenye mikopo kupitia ESS, wengi hawana uelewa wa hii mikopo. Riba mpaka 40%

    Haha! Wangeweka maximum 3yrs, 10yrs ni tatizo, unakuwa umejipiga pin, na mkopo wako ukifeli mipango ujue ndo gudu bayi
  5. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali okoeni watumishi kwenye mikopo kupitia ESS, wengi hawana uelewa wa hii mikopo. Riba mpaka 40%

    Salaam! Kuleta mfumo wa ESS ni jambo zuri hasa katika uombaji wa mikopo binafsi. Tatizo lililopo, watumishi wengi hawana uelewa wa athari za hii mikopo, maana imefikia mpaka 40% ya riba. Unakopa 16M, unapewa 14M then unalipa 70M wao wanapata 50M+ Serikali kupitia Utumishi, mmesajili taasisi...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Naenda na Dotto Biteko Uwaziri Mkuu Katika Baraza lijalo la Mawaziri

    Huo hauwezi kuwa utabiri, huwezi kutabiri kuwa jiwe likirushwa lazma litarudi chini
  7. C

    JamiiForums Tanzania Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

    Mtu ambaye hana athari yoyote ndo umwandikie uzi mrefu hivyo
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu ni hadi aliyekuteua aridhie ndio sababu Lowassa alijiuzulu mbele ya Wabunge waliompigia Kura awe Waziri mkuu!

    Kajiudhulu lini!? Maswali mengine ni non sense, unajua kabisa tunaye makamu wa Rais mpaka sasa halafu kweli unakuja kuuliza swali la namna hii?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Uwinga wa Kariakoo: Kazi Inayodharauiwa Lakini Inawalipa Zaidi ya Madaktari(elimu ya uwinga)

    ...siku hz cd hazitumiki, nadhani uwinga utakufaa, hopeful umenielewa
  10. C

    JamiiForums Tanzania Uwinga wa Kariakoo: Kazi Inayodharauiwa Lakini Inawalipa Zaidi ya Madaktari(elimu ya uwinga)

    Kwa hiyo madakitari waache kazi za udakitari waje kufanya uwinga?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Godoro gani ni zuri na linadumu kati ya haya? Nashindwa kuchagua

    ...unataka kununua godoro lililotumika!?
Back
Top Bottom