Kuna haja ya Serikali kuweka bei elekezi kwa wafanya biashara hasa wa Kariakoo maana pamoja na kutaka wapunguziwe kodi bado wanauza bidhaa kwa wanainchi kwa bei ya juu sana na ukihitaji risiti wanakuambia mashine ya kutolea risiti netiweki haipatikani kumbe ni ujanja wa kukwepa kodi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.