Recent content by Chafu mimi

  1. Chafu mimi

    Adio original ya mwenge wa uhuru

    Naomba mwenye audio ya ule wimbo ulioimbwa kwa mara ya kwanza wakati wa kuwasha mwenge wa uhuru, "sisi tumekwisha uwasha mwenge"
  2. Chafu mimi

    MTU yoyote ambae anaweza kutengeneza apps

    Jamani hamchangamkii deal ya kuandika application? 0754 967 883 check me
  3. Chafu mimi

    Nawezaje kuroot tecno boom J8?

    Yaani hapo mkuu mimi ndo sielewi wapi pa kuanzia am not so much good in electronics au Elimu ya mambo haya that's why nimeomba msaada
  4. Chafu mimi

    MTU yoyote ambae anaweza kutengeneza apps

    Mimi pia nataka kujua gharama zake, very serious
  5. Chafu mimi

    Nawezaje kuroot tecno boom J8?

    Mkuu mimi nataka kuwa app yangu nina sacos yangu nataka kutumia matangazo kwa app kuna anaweza kutengeneza na inagarimu kiasi gani
  6. Chafu mimi

    Nashindwa kusoma Article za Pdf and Word kwenye tablet yangu

    Ili upate app inayoweza kufanya vizuri unatakiwa ununue kule kule kwenye play store kuna za kununua so nunua zile they'll work, ila lazima uwe umejiunga ile online patches kwa kutumia bank inayoweza kufanya hivyo, ukiona unagoma nipm
Back
Top Bottom