Nawezaje kuroot tecno boom J8?

Nawezaje kuroot tecno boom J8?

inategemea na aina ya simu. njia nzuri ni kuinstall su file manually kwa kuwasha simu ukiwa umepress home button, volume down button na power on button. then unachagua su file uliloweka kwenye sd card yako.

nitumie pm aina yako ya simu na model yake nikutafutie su file yake kwan ukiweka file sio simu haiwaki.
kwangu ninapofanya hivyo yanakuja maandishi ya kichina nashindwa kuendelea
 
Kuroot unaweza
Tumia
Kingroot, kingoroot, iroot Faida; unakua unauweza wa kufanya chochote unachotaka ikiwa ni pamoja kuondoa built-in apps ambzo huzitaki, unaweza wa kubadili fonts za simu yako, kuna mambo advanced kama unataka simu yako ikiwaka isioneshe tecno isome jina jingine, yan ni a lot of things
Mm nna tecno nataka isome Samsung. Nafanyaje?
 
inategemea na aina ya simu. njia nzuri ni kuinstall su file manually kwa kuwasha simu ukiwa umepress home button, volume down button na power on button. then unachagua su file uliloweka kwenye sd card yako.

nitumie pm aina yako ya simu na model yake nikutafutie su file yake kwan ukiweka file sio simu haiwaki.
Mkuu mimi nataka kuwa app yangu nina sacos yangu nataka kutumia matangazo kwa app kuna anaweza kutengeneza na inagarimu kiasi gani
 
Mkuu mimi nataka kuwa app yangu nina sacos yangu nataka kutumia matangazo kwa app kuna anaweza kutengeneza na inagarimu kiasi gani
hiyo ww nenda tu google ads.
bei ya matangazo inategemea unataka watu wangapi walione hilo tangazo lako. na bei za google ads hazipo static, mfano idadi ya viewers walewale mmoja anaweza kupandishiwa gharama , mwingine akashushiwa. so u just pay a vist to google ads ndo wanatoa matangazo kwenye app, blogz na sites mbalimbali
 
Yaani hapo mkuu mimi ndo sielewi wapi pa kuanzia am not so much good in electronics au Elimu ya mambo haya that's why nimeomba msaada
 
Tumia kingroot
 
Attachments

  • Screenshot_2016-05-21-01-13-55.png
    Screenshot_2016-05-21-01-13-55.png
    26.1 KB · Views: 59
Back
Top Bottom