Recent content by Chademason

  1. C

    Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

    Mimi nilijua wamekatalia magari yetu kuingia inchini mwao kumbe wameongeza fee kwenye magari. Sisi acha tuendelee kutoa misimaha ya kodi. Leta hoja zenye mashiko na ambazo zitaleeta manufaa kwa taifa na sio huu upuuzi.
  2. C

    Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

    Mimi nilijua wamekatalia magari yetu kuingia inchini mwao kumbe wameongeza fee kwenye magari. Sisi acha tuendelee kutoa misimaha ya kodi.
  3. C

    Museveni kusuluhisha mgogoro kati ya Tanzania na Rwanda

    Yani kwa ufupi ni kuwa watu walio mzunguka rais wetu ni ma mbumbu na hao ndio watasabisha inchi ingie kwenye vita bia sababu yoyote. Na yote haya ni madhara ya ccm kuingia serekalini kwa kuhonga huku wasomi na watu wanao weza kutoa ushauri na kufanya kazi kwa uzarendo wakiachwa. Anyway lets...
  4. C

    Magari ya M4C Yafanywa ya starehe, moja lakutwa bar!

    Ungesema kuwa umeiona chopper bar ningekuelewa lakini sio gari. Ina maana hujagundua kuwa viongozi hutumia chopper na sio magiri kama magamba. Achana na mambo ya Chadema kijana.
  5. C

    TRA Kuna Nini MHe DR MGIMWA Na Kamisha TRA saidieni

    ----...how do you dare come up with exemption complaints to the majority of poor Tanzanians who doesn't even know the meaning it. if you can't be petient go pay and stop spreading nonses.
  6. C

    Tamko la CCM kufuatia mgogoro wa madiwani Bukoba (kuhusu utaratibu)

    CCM wameshindwa kufukuza magamba mawili yaliyo salia katika chama (Lowasa na Vijisenti) wateweza kufukuza madiwani? Hiyo kazi waachieni Chadema pekee.
  7. C

    CHADEMA; Fuatilieni Trend hii na Kuweni Makini Zaidi

    safi sana kamanda. pamoja sana.
  8. C

    Picha - Shonza/Mwampamba UVCCM - waliobaki wawafuate

    Duh, vijamaa vyenyewe ndio hivo vipimbi, maana nilikuwa sajawahi kuwaona. They look like fools.
  9. C

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    Ccm haiwezi shinda kwa njia yoyote ile maana wananchi walishapoteza matumaini na hicho chama. Vinginevyo wakitaka washinde wamchukue Dr.Slaa akagombee kwa ticketi ya ccm.
  10. C

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    Ccm haiwezi shinda kwa njia yoyote ile maana wananchi walishapoteza matumaini na hicho chama. Vinginevyo wakita washinde wamchukue Dr.Slaa akagombee kwa ticketi ya ccm.
  11. C

    Job Ndugai na Tundu Lissu uso kwa uso kwenye 'Kpima joto' ITV

    King'amuzi kimeleta shida sana, ITV imekuwa bidhaa adimu kinoma. Tunaomba updates tafadhali.
  12. C

    Bunge lajigeuka: Tutaendelea kurusha 'LIVE' vikao vya Bunge...

    The government (CCM) of this country is becoming a joke. Any full can easily come up with stupid decision which shame to our people and country as whole before the other countries. If we are not serious and very carefull on choosing good leaders, one foolish person will put this beatiful...
  13. C

    Polisi waanza kuwafuatilia waliomtukana Spika

    Hehehee..kazi kweli kweli. yani umewashika pazuri.
Back
Top Bottom