Sakata la kuondolewa wanafunzi 7802 waliokuwa wanasoma diploma ya ualimu katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) linazidi kuchukua sura mpya kila siku baada ya viongozi wetu wenye dhamana kutoa ufafanuzi wa suara hilo kwa kukinzana.
Ikumbukwe kuwa serikali ya hawamu iliyopita baada ya kugundua...
nilidhani ulipoa kumbe bado! Nchii siyo mali ya rais wala awaye yoyote. lazima tuheshimu utawala wa kisheria na tuongozwe kwa misingi iliyewekwa kwa kuiheshimu katiba! kama mtu katenda kosa ahukumiwe ila siyo kufundisha wizi tena ufanywe na walinzi wa raia na mali zao!
kwa mara ya kwanza kwa bunge hili,imeandikwa historia kwa wabunge wetu kuziweka pembeni tofauti zao za kidini, kanda na ZAIDI VYAMA VYAO wakasimama kuwatetea wanafunzi 7802 walifukuzwa kwa mabomu na askari wakitekeleza agizo la serikali mizuka. Hongera wabunge wetu
wewe ni bendera mkuu! ninacho kishuhudia ni uwezo mdogo wa kufikiri. kama rais alijua waliojiunga hawanasifa, wangewaondoa wasio na sifa wakabaki wenye sifa wasome. Tatizo ni moja kwa nchii hii, hatuna dira ya Taifa. kila rais anakuja kusimamia kile anachokiamini yeye na siyo dira ya Taifa...
shida ya tTanzani
Hakuna cha ufisadi, Magu wala nani. shida ya Tanzania kila kiongozi anayekuja anakuja na mtazamo wake pasina kuchunguza athari kwa jamii! Hakuna mwendelezo wa miradi iliyo tangulia wala uboreshaji wowote. Tumekosa dira ya taifa. Hatujui tunataka nini, lini na kwa njia zipi...
Jukwaa la Jumuhia ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanachadema mkoa wa Mwanza yaani Chadema Student Organization (CHASO TALK), inatarajiwa kufanyika mwezi huu. Hili ni jukwaa ambalo huwapa fursa wasomi kutoka vyuo mbalimbali vya mkoa huu kujadili na kubadilishana mawazo. Jukwaa hili hujulikana kama...
kwa namna unavyojitahidi kumshambulia kubenea ni dhahiri unaatumika. Na hii inanipapicha kwamba wenda kaushika pabaya mfumo unaoutumikia.
nainachokiamini ni kuwa Kubenea hawezi kata tamaa au kuvunjika moyo kwa shambulizi lako, bali unamjenga na kumjaza kiu ya kuzidi kuonesha thamani yake kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.