Recent content by CHADEMA MOIVARO

  1. C

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Kiti cha spika kinapwaya

    Lusinde ni aina ya wabunge wote wa ccm walivyo. Wenye ilo jina wanadhalilika sana.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tumezuia maandamano ya CUF kutokana na silaha zilizoibiwa Ikwiriri Rufiji

    Asalaam Mkuu wa jeshi la polisi IGP Ernest Mangu anapaswa kuwajibika kwa kukiukwa kwa maadili ktk jeshi hilo. Mosi,tukio la kushambuliwa kwa mwenyekiti wa CUF linatosha KUMFURUSHA kutokana na siasa inayoendelea ktk tasisi hiyo ya ulinzi...wamekuwa wakifanya kazi kwa maelekezo ya wanasiasa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu nchemba Mwiba mkali, mfalme wa mikakati aliegeuka lulu siasa za uraisi 2015

    Ajira huna ndo maana unatumika na CHAVDA WA PILI.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu nchemba Mwiba mkali, mfalme wa mikakati aliegeuka lulu siasa za uraisi 2015

    Huyu mgombea wako ni mwepesi mno.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu nchemba Mwiba mkali, mfalme wa mikakati aliegeuka lulu siasa za uraisi 2015

    TRUE..magamba hawana mgombea thabiti mwaka huu.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu nchemba Mwiba mkali, mfalme wa mikakati aliegeuka lulu siasa za uraisi 2015

    Huyu bwana hata huwa simwelewi.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Lowassa (4u movement) wasambaa mikoani wakifanya kampeni

    Kwa hiyo mama mingoi unataka kuwala vijana wa bavicha? maana kitu chochote kisicho riziki hakiliki. mama mingoi eti nawe kambi lowassa. Kamsaidia mke mwenza Asha Baraka anatafuta ubunge huko kasulu.
  8. C

    JamiiForums Tanzania January Makamba ni mzigo usiobebeka

    Itadua taae..kweli
  9. C

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Lowassa (4u movement) wasambaa mikoani wakifanya kampeni

    Kumbe wewe mkata wezele wa twanga upo team lowassa,mtaishia njiani.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Lowassa (4u movement) wasambaa mikoani wakifanya kampeni

    Nimecheka sana,umempa nyeupe huyu mkazi wa NGARA..waweza kuta hata sio raia.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Lowassa (4u movement) wasambaa mikoani wakifanya kampeni

    Vijana wenyewe wanywa gongo wa UVCCM.
  12. C

    JamiiForums Tanzania January Makamba ni mzigo usiobebeka

    Huyu bwana na kipara chake aambiwe safari hii hatumtumii LUNDENGA kumtafuta MKULU.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Maghembe Yuko Taabani Mwanga Kumekucha Sasa

    Magembe ni kiazi,ajiandae kwenda kuuza matembele MALAWI kama zamani.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Maghembe Yuko Taabani Mwanga Kumekucha Sasa

    CCM ipo hoi sehemu nyingi.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Diwani Ephata Nanyaro wa Levolosi Arusha - Utekelezaji wa Maendeleo

    Tunahitaji kasi ya maendeleo kata mpya ya Moivaro iwe kama levolosi,hongera NANYARO.
Back
Top Bottom