Mleta mada, unavyoachia clutch wakati wa kuondoka ndo utaachia clutch hivyo hivyo kwenye kila gia. Sio eti namba 1 unaachia taratibu halafu gia zilizobaki unaachia ghafla.
Ukiweka gia kanyaga mafuta kabla hujaachia clutch. Tena kanyaga mafuta bila kuogopa.
Jitahidi pia kujua gia ipi inafaa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.