Recent content by Chacharika

  1. C

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Magufuli alikuwa operation gani Makutu@ Spina
  2. C

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Nilikuwa operation miaka 30 ya uhuru Makutupora. Kuna magumu mengi na pia kuna mafunzo mengi. Nikikutana na nilokuwa nao shule na chuo huwa nafurahi but nikikutana na nilokuwa nsye jeshini huwa nafurahia zaidi maaba ni jambo la onky 1yr lkn lenye kumbux2 nyingi.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Sofa coach zinauzwa

    Endapo bado zipo naomba kuja kuziona
  4. C

    JamiiForums Tanzania Sofa coach zinauzwa

    Bado zipo au zimepata mteja.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Sofa coach zinauzwa

    Ni material gani na naomba kwa 350000
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Kunduchi-Salasala laungua kwa radi

    Ni kanisa la abandant life christian fellowship ndo limeungua. Lilikuwa makuti style. Radi imepiga likaitika. Poleni mlioathirika. Binafsi nilipita nikaona linateketea.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

    Safiiiii. Aluu! Fuatilia Kasungu, ulindwanoni nk endapo waweza kuyapata. Tunahitaji elimu ya uraia iende hadi Igagara nk.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

    Safi sana kamanda. Fuatilia na huko usinge nk
  9. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

    Tunaomba matokeo ya wilaya mpya ya Kaliua.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Kwa Anne Kilango vipi. Kwa Chenge mzee wa kuchakachua katiba ktk uandishi na jirani yake Cheyo Momose kukoje?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Kwa hiyo matokeo ya kilimahewa baada ya vurugu wameyatangaza au yatarudiwa? Vurugu inapelekea uchakachuaji.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

    Tegisa alikuwa like an iron lady. Ninajivunia kusoma Jangwani. Azajangwa ilikuwa ndiyo mpango mzima.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Uandikishwaji wa wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa serikali za mtaa umekumbwa na Vurugu

    Na siku ya uchaguzi ni lini
Back
Top Bottom