Nimesoma kwenye gazeti la nipashe, chadema wanataka watu 100,000 wawachangie kila mwezi shilingi 1,000 kila mwezi ili wapate shilingi 100,000,000 milioni mia moja. Jamani humu tupo wana chadema zaidi ya 120,000 na waccm wachache
wanaoipenda chadema hebu tutume na viongozi wa chadema wa kanda...
Mwanafunzi kauwawa, yeye anaanza kutoa kejeli kwa wanafunzi kuwa hawana adabu na kisha anaanza kuhangaika na Lema badala ya kushughulika na kuwatafuta wauaji. Wamesema wataandamana ili mhe rais kikwete amhamishe kwa maana yeye ndio hana adabu na utu hata kidogo.
Mambo yamefika pabaya. Mkuu wa mkoa ameamua kufanya mchezo alioukusudia kuwa mauaji ya mwanachuo wa uhasibu Henry aliyeuwawa na watu wasiojulikana usiku wa jana ni ya kisiasa na kuwa wanasiasa wanahusika.
Mpango ni kumhusisha Lema ili kumchinja kisiasa.
Wanausalama wa taifa wawili waliokuwa...
CCM walikuwa wamejipanga kuwafutilia mbali wanachadema wote walioomba uwakilishi kwenye mabaraza ya katiba. Mkakati wa wagombea wa chadema ikawa ni kujitambulisha kuwa wao ni wana CCM.
Mmoja wao ni Mchungaji mmoja ambaye huwa anahubiri kwenye radio moja hapa jijini arusha ambaye alipewa mpaka...
Inaumiza sana kwa wengi waliiona tukio la dodoma ambalo CCM kwa makusudi wakiongozwa na wabunge wao rage, chatanda, nyangwine kwenda kuvamia na kutoa bendera ya chadema na kuitoa. Makada wa chadema walipifika ili bendera yao irudishwe wamewafanyia vurugu halafu na kuwapiga kama mbwa mwizi na...
Nilikuwepo kwenye ziara hiyo ya mbunge alipotembelea sekondari ya korona hapa mjini arusha.
Afisa elimu alikuwepo, mkuu wa shule, diwani, kaimu mkurugenzi wa jiji. Akaamuliza mkurugenzi kama baraza la madiwani lilishaamua ijengwe bweni kabla ya wanafunzi hawajafungua shule mwaka wa masomo 2013...
Viongozi wa Arusha Press club tumeshindwa kuwaelewa. Tumekaa tukisubiria wote kufanya maandamani ya AMANI kupinga mauaji ya kikatili aliyofanyiwa daudi mwangosi. Tumeshangaa wamekuja na taarifa kutoka POLISI kuwa maandamano yamezuiliwa kwa sababu darasa la saba wanajiandaa na mitihani. Jamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.