Recent content by chacha patrick

  1. chacha patrick

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wana JF

    Pole sana dada muombe mwenyezi mungu akuepushe na hayo maswaibi
  2. chacha patrick

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzia: Member mwenzetu Marejesho amefiwa na mdogo wake wa Kiume

    Pole sana kaka kwa kipindi hiki kigumu bt tupo pamoja nawe
  3. chacha patrick

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Msaada mkuu S0601.0053.2009
  4. chacha patrick

    JamiiForums Tanzania HESLB duh, nakata tamaa

    Mkuu naona sua tayari
  5. chacha patrick

    JamiiForums Tanzania Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    Elias kihombo kwa physics ni balaaa tupu
  6. chacha patrick

    JamiiForums Tanzania Transfer to medical related programmes

    Ndo ivyo mkuu
  7. chacha patrick

    JamiiForums Tanzania Transfer to medical related programmes

    Hapo wanatoa kwa wote mkuu coz transfer bado inaendelea kwa baadhi ya vyuo ambae deadline trh 10
  8. chacha patrick

    JamiiForums Tanzania HESLB duh, nakata tamaa

    Mm mzee wangu hata matumaini ya kwenda chuo hanipi kila siku ananiuliza mkopo bado kwa maana iyo bila mkopo chuo na mm ndo ivyo
  9. chacha patrick

    JamiiForums Tanzania Umechaguliwa wapi? Kutana na Wanachuo Wenzako!

    Bachero degree in wildlife management mweka
  10. chacha patrick

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujutia shahada uliyosomea? Njoo tushauriane!

    Jamani mwenye ulewa na hi I coz bachelor degree in wildlife management ndo nimechsguliwa hiyo coz mweka je inae ajila naomba kueleweshwa
  11. chacha patrick

    JamiiForums Tanzania Wale wa second round njoni hapa

    Mbona mie chalii angu kachaguliwa ud na alikuwa second round
  12. chacha patrick

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Mweka vipi jamani
  13. chacha patrick

    JamiiForums Tanzania MAJINA 12,867 ya wale ambao hawakuchakuchaguliwa na TCU raundi ya kwanza

    Na wengine tayari wameishachaguliwa vyuoni kaka ambao ni second round we subiri kesho majina yote yanatolewa
  14. chacha patrick

    JamiiForums Tanzania Kujua umechaguliwa wapi na TCU ingia hapa!

    Aliyeona mweka jamani
  15. chacha patrick

    JamiiForums Tanzania Vyuo kadhaa kutoa majina ya waliodahiliwa muda wowote

    Mweka jamani mwenye kujua kama wametoa majina naomba kusaidiwa
Back
Top Bottom