Wewe ndo mwongo maana msd sasa hivi ni jina tu labda wewe uko dar na hujui kinachotokea mikoani. Kwa hiyo ndo na nyie msd mnataka 10%.
Mm nasema kitu ninachokiona na siyo cha kuambiwa na kwa taarifa yako kuna wakati hata msd kunakua hakuna hata panadol.
Kwamba mfamasia anaiba Mwacheni maana vyeo hivyo huwezi pewa kama wanakujua unamsimamo mkali wa kukataa wizi ama huwezi pewa nowadays kama huna mtu anaekukungikia kufua juu.
Kwa utaratibu wa kawaida mfamasia hawezi order dawa bila kamati ndogo ya manunuzi ya dawa kukaaa na kuamua. Pia dawa...
Swala la dawa naona ni la nchi nzima na kinachosababisha ni ukosefu wa dawa msd. Kuna wakati hospital inaweza kuwa na hela za cost sharing ukipeleka invoice msd unakuta 75% ya dawa hawana na ukiwambia wakuandikie out of stock wanakataa wanadai uwape pesa wakununulie wao na ukijidanganya ukawapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.