Recent content by chabusalu

 1. C

  Mtozi Alloyce Nyanda: Kuna watu wanamtumia Swai kumchafua Sabaya

  SWALI LA 1: SIONI MANTIKI KWA NYANDA KUMUULIZA SWALI HILI KUMBUSHO. KWANZA SIO KUMBUSHO ALIYEDAI KUWA NA HIYO VIDEO. PILI, ILE VIDEO YA CCTV IWEPO AU ISIWEPO HAIONDOI TUHUMA ZILIZOPO DHIDI YA SABAYA, KWA KUWA UTENDAJI KAZI WAKE UMEJAA VITENDO VYA KIHUNI NA USIOZINGATIA MAADILI YA UTUMISHI...
 2. C

  Mwigulu Nchemba kiepuke kikombe hicho mapema vinginevyo jumba bovu linaenda kukuangukia wewe

  Well said. Unajua kuna watu bado wako katika usingizi wa pono, hawataki kubadilika lakini wakati utawabadilisha tu. Umesema vizuri na kweli kabisa, kama makusanyo yatapungua, lakini ni makusanyo halali kwa mujibu wa sheria, na hakuna vitisho mpaka vya watu kufunga biashara zao, basi hayo ndio...
 3. C

  Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

  Eti nisi quote comment yako, ina madini ya aina gani? Napata kitu gani niki quote na ninakosa kitu gani nisipo i quote? BTW, unajipa mamlaka ya ku quote comment yangu bila masharti, halafu unaniwekea masharti mimi ku quote ya kwako? Uko sawa kweli upstair? Tumewaambia hivi JPM alikuwa na walinzi...
 4. C

  PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

  Inawezekana tatizo ni lugha, vinginevyo hakuna ubishi kwamba JPM alikuwa anajilimbikizia mali, na kadri muda unavyokwenda itajulikana zaidi nini kilifanywa. Lumumba hakuwahi kuchunguza maisha ya JPM, wala hakuwa na sababu ya kufanya hivyo!
 5. C

  Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

  Muulize Lissu acha ulopolopo. Lissu aliposema kwa mara ya kwanza kuwa JPM kazima mlibisha, hili la mlinzi wake naye kutangulia mbele za haki, sio jipya, na Rais hana mlinzi mmoja. Mtafute Lissu akutajie jina kama unalihitaji!
 6. C

  Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

  DK GWAJIMA ALISTAHILI KUTUPWA NJE YA BARAZA, SEMA MAMA ANA MOOD NA WANAWAKE WENZAKE
 7. C

  Kesho Lissu asipotulia tena yatamkuta yale yaliomkuta 2019 mbele ya Masilingi

  NI WATU WENYE KASI NDOGO YA KUELEWA NDIO WANAMWONA PLO NI WA MAANA!
 8. C

  Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli

  Hilo ni gazeti gani? Toleo namba ngapi? La tarehe ngapi?
 9. C

  Tanzania kuwa na Rais mwanamke?

  Samia akiishaapishwa hatapangiwa, anaweza kuteua PM mwingine. Kumbuka atakuwa na mamlaka ya kuteua Makamu wa Rais, na hata PM (akiona hataendana na Majaliwa). na atakuwa na mamlaka ya kuwa na Baraza la Mawaziri ambalo mwenyewe ataona litaendana na kasi yake. Usishangae Bashite anaula chini ya...
 10. C

  Uchaguzi BAWACHA: Majina ya waliorejesha fomu za kugombea uongozi haya hapa

  Tupeni Hawa: 1. Kaimu Mwenyekiti-Susan Kiwanga 2. Kaimu Makamu Mwenyekiti-Siwajui Wote Walioomba 3. Katibu Mkuu-Catherine Ruge 4. Naibu Katibu Mkuu-Siwajui Wote Walioomba 5. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar-Simjui Vizuri Japo Yupo Mmoja 6. Mwenezi Bawacha-Husna Amri Said (hili si ndio jembe...
Top Bottom