Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,332
- 14,255
- Thread starter
- #21
Thanks Mkuu,nitaicheki.Liga hotel...nlilala hapo juzi pako vzuri kias chake
Thanks Mkuu,nitaicheki.Liga hotel...nlilala hapo juzi pako vzuri kias chake
Njoo kwangu ulale. Nitajilipa kupitia mambo yetu yale pendwa. Sichagui jinsia kwani dushelele langu halichagui pa kupenya, lakiniHabari za asubuhi wapendwa?
Next week nina safari ya kwenda Shinyanga mjini, Sasa kwa wenyeji wa mji huu naomba mniambie sehemu nzuri ya kulala (Guest house), ya bei ya kawaida lakini pawe na huduma za msosi na vinywaji, sehemu ambayo naweza kupunguza stress za maisha na safari.
Bora kulala mwadui, kuna gest nzuri mno, hata maganzo si mbayaMaganzo, Kolandoto, Kambarage
Nitakuja na mabausa wawili wakutie Adabu,anda kilainishi na poo.Halafu itabidi uwapikie msosi wa kutosha hao jamaa.Mimi kwasababu sina tabia hiyo nitakuwa mtazamaji na msikilizaji wa jinsi unavyogugumia kwa maumivu ukiwa umevalia kanga moko.Njoo kwangu ulale. Nitajilipa kupitia mambo yetu yale pendwa. Sichagui jinsia kwani dushelele langu halichagui pa kupenya, lakini
Sasa Mkuu Mwadui na Shinyanga town kuna umbali kiasi gani??.Bora kulala mwadui, kuna gest nzuri mno, hata maganzo si mbaya
70 kmSasa Mkuu Mwadui na Shinyanga town kuna umbali kiasi gani??.
Ok, ambapo nauli ni kiasi gani?.70 km
,mimi mwenyewe mtiaji fyatu. Nasimamia show kama waendesha baiskeli wa Maganzo. Karibuni vinyeo vije viwake moto.Nitakuja na mabausa wawili wakutie Adabu,anda kilainishi na poo.Halafu itabidi uwapikie msosi wa kutosha hao jamaa.Mimi kwasababu sina tabia hiyo nitakuwa mtazamaji na msikilizaji wa jinsi unavyogugumia kwa maumivu ukiwa umevalia kanga moko.
Wewe nakufananisha na mbwa anayebweka bweka hovyo lkn akitishwa kidogo huyo ananywea.Hopless kabisa.,mimi mwenyewe mtiaji fyatu. Nasimamia show kama waendesha baiskeli wa Maganzo. Karibuni vinyeo vije viwake moto.
Nipo Mwigumbi sasa hivi. Baadae Njia Panda ya Malampaka. Kesho asubuhi narudi Shinyanga mjini. Karibu uje uonjwe na nkoi tunaokula matoboraa yenye nguvu ya Kibayanda bayandaWewe nakufananisha na mbwa anayebweka bweka hovyo lkn akitishwa kidogo huyo ananywea.Hopless kabisa.
Wewe ni tapeli2k haizd
unatapeli kutokea shinyanga?2k haizd
Karibu na stendi ya mabasi yanayotoka Dar hapo Shinyanga sehemu gani ni pazuri kulala, kwa bajeti za kihangaikaji (20,000 au 25,000)?Kama hupend mikelele mingi , UNAWEZA ZAMA APO LIGA HOTEL,ndani ya Ngokolo,pia SIMEJ nako sio haba kama utaamua uchili apo LUBAGA UKABE WATOTO WA MAJENGO MAPYA USHUANI,
Usichukue guest za katikati sana ya mji sio nzuri kivile kwa nature ya mazingira japo kwa huduma ziko safi kabisa
Kama huna jibu uwe unakaa kimyaWanakuja wakupe muongozo.
Wewe hamnazo nani kakupa mamlaka ya kupangia watu humu JF?Kama huna jibu uwe unakaa kimya
Wewe jamaa ni Mwongo mpaka unakera yaani. Lubaga Hadi Stendi ni zaidi ya Km5!!!!!2k haizd