Recent content by Chabruma

  1. Chabruma

    JamiiForums Tanzania Chondechonde Rais wangu Magufuli, hili ni jaribu kuu kwako!

    Rais hawezi kuingilia masuala ya bunge. Spika Ndugai ataweka sawa hilo
  2. Chabruma

    JamiiForums Tanzania Chondechonde Rais wangu Magufuli, hili ni jaribu kuu kwako!

    Muswada unazungumzia ukomo wa Bunge na si Urais. Watu mbona mnakurupuka sana? Bunge ni muhimioi mwingine na wana haki yao kujadili na kuamua juu ya mambo yanayowahusu
  3. Chabruma

    JamiiForums Tanzania Thinking Deeply: Ilikuwaje Tundu Lissu akavuliwa nguo zote na kupewa dereva badala ya mke wake?

    Kwani shaba si zilipigwa nyumbani kwake?
  4. Chabruma

    JamiiForums Tanzania Thinking Deeply: Ilikuwaje Tundu Lissu akavuliwa nguo zote na kupewa dereva badala ya mke wake?

    Hapo sijaona lile shati la blue alilolalia kichwani
  5. Chabruma

    JamiiForums Tanzania CHADEMA si CHADEMA tena

    Wapuuzi sana hawa tumewashtukia
  6. Chabruma

    JamiiForums Tanzania CHADEMA si CHADEMA tena

    Sahihi kabisa
  7. Chabruma

    JamiiForums Tanzania Thinking Deeply: Ilikuwaje Tundu Lissu akavuliwa nguo zote na kupewa dereva badala ya mke wake?

    Duh! Aiseeee sasa akili zetu zinaanza kukaa sawa.
  8. Chabruma

    JamiiForums Tanzania Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    Lengo la huyu dereva kujipakaza damu za Lissu lioikuwa jiji?
  9. Chabruma

    JamiiForums Tanzania Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    Kila mtu anaobgea lake. Mmeshikwa pabaya
  10. Chabruma

    JamiiForums Tanzania Maneno ya kiswahili yaliyo pata kiki awamu ya tano

    Watu wasiojulikana
  11. Chabruma

    JamiiForums Tanzania Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    Anayetafutwa hapa ni mdunguaji
  12. Chabruma

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Wameshajulikana tayari
  13. Chabruma

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Pitia pia na mjadala wangj uone jinsi MACHADEMA mnavyounbuka
Back
Top Bottom