Ndugu wana jamvi kuna taarifa zilizonifikia kutoka vyazo mbali mbali vya habari kutoka chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) Kitivo cha lugha na sayansi za jamii kuwa kuna mgogoro unaofukuta ndani ya serikali ya wanafunzi(UDOSO) katika kitivo hicho,unaoweza kusababisha kuanguka kwa serikali hiyo.Vyanzo...
Mambo mengine bhana! ni ya kijinga sana, eti unaenda kufungua tawi la ccm Marekani.Naomba niambiwe tawi la Repablican au Democrat hapa Tanzania liko wapi.Mtu anatumia mamilioni ya fedha kufanyia mambo ya kijinga Marekani alafu tunarudi tena kwao kuomba msaada.Kuna zahanati zinahitaji Tsh milion...
By monja: tatizo si kula na maskini tatizo ninamna gani serikali ya ccm inaweza kuwasaidia kuondokana na umaskini.Huko ni kujikomba, ccm walituahidi maisha bora kwa kila mtanzania na wala si kula na sisi maskini.
kama na nchemba anataka uraisi basi ni bora mbwa atawale nchi hii sio nchemba. Tahiliso tulisha kuambia ujinga wako na sifa za kijinga ndo zinakufanya tukuchukie kama unabisha nenda udom,udsm au saut uone cha moto.eti first class wangapi tunazo na serikali yako isiyo na dira haitupi ajira? Ajira...
by cello; laiti ungejua hamy-d(mwigulu nchemba)jinsi sisi vijana wa tahiliso tunavyokuchukia kwa ujinga na uropokaji wako! Ungekaa kimya tu wewe siasa ulibaka tu huna sifa ya kuwa mwanasiasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.