Recent content by celine 2

  1. C

    Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

    yaani anapizi wakati wa kuingiza,mm kileleni nafika tunapofanya romance.
  2. C

    Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

    cha kwanza hata kabla hajaingiza,cha pili kinachukua mda mfupi sana
  3. C

    Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

    jamani msaada tutani wakuu,nn tiba ya premature ejaculation?mpenzi wangu ana hilo tatizo,nisaidieni sitaki kumuacha nampenda.
  4. C

    Food Suppliments for HIV People

    pole sana,tafuta majani au mbegu za mti wa mlonge,kuna siku humu kuna mtu alisema anajua zinakopatikana mi binafsi siufaham ila nasikia ni mzuri sana
  5. C

    Natafuta mchumba mwenye vvu

    soma kwa makini utaelewa.nitafutie
  6. C

    Natafuta mchumba mwenye vvu

    Inategemea na tabia yako kwan unaweza kuwa na umri mkubwa lkn ukawa huna akili.
  7. C

    Natafuta mchumba mwenye vvu

    Mi ni mwanamke nna miaka 32 naishi na vvu,natafuta mchumba anayeishi na vvu pia.awe na miaka kuanzia 30,mkristo,awe ameajiriwa au amejiajiri,anayejitambua na kuikubali hali yake,mm nimeajiriwa niko dar aliye tayari ani pm.
  8. C

    Natafuta mchumba mwenye vvu

    Habari zenu jamani, mm ni mwanamke ninaeishi na vvu najitokeza kutafuta mchumba ambae pia anaishi na vvu miaka yangu ni 32,mkristo,nimeajiriwa na nimeikubali hali yangu,huyo atakeijitokeza awe na miaka zaidi ya 30,mkristo,amejiajiri au ameajiriwa.aliye tayari ani pm. naomba msininyanyapae...
  9. C

    Mambo gani kuharbiana sterehe...?

    huyo anaigiza tu
  10. C

    Wazazi waua mtoto wakigombania cd ya msanii "diamond"

    dah inasikitisha kwa kweli cd tu?
  11. C

    hodi mpaka ndani

    nimekuwa naingia kama mgeni,sasa naingia mazima,nipokeeni jamani.
Back
Top Bottom