Recent content by CeH

  1. C

    Retention Fee ni msiba kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu

    Kwa kuwaokoa watoto wa masikini ambao tulidhani mkopo wa elimu ya juu ni mkombozi kwa kupata mkopo sasa ni kilio kila kina baada ya mwaamko wa kurejesha mkopo kuwa mchungu kama siyo jipu uchungu. Retention fee na penalty ni piga kwa Wanafunzi wote waliopata mkopo HESLB ambaye inatozwa 6% mara...
  2. C

    Mhe.Paul Makonda(DC) njoo Mwananyamala

    Ndugu Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Mhe.Paul Makonda na Mkuu wa Mkoa wa DSM siamini kama hamujawahi pita barabara ya Mwananyamala kutokea Victoria....Sehemu iliyoharibika kupindukia ni hapa sokoni. Kwa faidi ya wagonjwa naomba barabara itengenezwe haraka xana hata kwa kuweka kifusi cha mawe matupu...
  3. C

    Mhe.Paul Makonda(DC) njoo Mwananyamala

    Ndugu Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Mhe.Paul Makonda na Mkuu wa Mkoa wa DSM siamini kama hamujawahi pita barabara ya Mwananyamala kutokea Victoria....Sehemu iliyoharibika kupindukia ni hapa sokoni. Kwa faidi ya wagonjwa naomba barabara itengenezwe haraka xana hata kwa kuweka kifusi cha mawe matupu...
  4. C

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Ili malengo na kasi ya mabadiliko itimie ni vema hii wizara akaisimamia mwenyewe mkuu wa Nchi. ... We need a Zero loss on Revenue from TRA and our president is capable to monitor it....
  5. C

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Hawa watu ni wazalendo kwelikweli....wakipewa nafasi za wizara nyeti hasa uchumi na viwanda TZ itapaa na kuwa 5 bora Afrika. Nchi hii ina kula kitu kasoro uongozi bora wenye tija ya mapinduzi ktk uchumi. Pia yule kijana Polepole apewe nafasi nyeti katika chama ili kuweka misingi bora ya chama.
  6. C

    Njombe - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mbunge msomi aliyebobea katika uhandisi,Eng.Gerson Lwenge amefanikiwa kulitetea jimbo la WANGING'OMBE ambako kwa kipindi cha miaka mitano iliopita aliweza kulibadilisha jimbo kwa kasi ya maendeleo ikiwa na kuharakisha mitandao iliyo bora ya barabara ndani ya wilaya mpya ya WANGING'OMBE...
  7. C

    Dr. Slaa: Natishwa

    Tuwe waungwana japo kidogo....Dr.Slaa alistahili kugombea Urais hata kama LOWASA kajiunga na CHADEMA,kwanza bado mgeni katka chama chenu hata wiki hajamaliza. Sidhani kama Dr.Slaa ni mjinga kiasi hicho asijuwe hila zilizotumika kumuengua? Hiyo ni laana mbaya sana....naamini Dr.Slaa angeleta...
  8. C

    Kama wewe ni Fisadi na una uchu wa Madaraka ondoka, kwani CCM si mahala pake

    hahaaa ...CCM imejenga choo cha nje sasa hivi kinaitwa UKAWA ndiyo unasikia tunaflash uchafu huko,vumilieni basi ...tunatunza mazingira kama tulivyo wa kijana "KEEP US GREEN and DUMP ALL CABBAGES in UKAWA SEPTIC TANK"'' Sasa ni kampeni mwanzo mwisho....CCM...
  9. C

    Kama wewe ni Fisadi na una uchu wa Madaraka ondoka, kwani CCM si mahala pake

    Dr.Magufuri kimya kimya mpaka ikulu wala usipaparike wewe ni "CHOSEN ONE"
  10. C

    Kama wewe ni Fisadi na una uchu wa Madaraka ondoka, kwani CCM si mahala pake

    Prof.Tibaijuka alikili kosa tena mbele ya watanzania kuwa kapewa zawadi lakini CCM ikasema huo siyo utaratibu lazima awajibishwe....Lakini huyo anayeongopa mchana kweupe ati mamlaka za juu zilikataa ni UONGO na UNAFIKI toka lini KATIBU MKUU tena wa wizara akawa juu ya WAZIRI MKUU...
  11. C

    Kama wewe ni Fisadi na una uchu wa Madaraka ondoka, kwani CCM si mahala pake

    bora CCM kuna juhudi za kuondoa UCHAFU kuliko ukawa inayolala na UCHAFU nakuomba WACHAFU waingie kwenye damu ya CHAMA..... Tuliwaambie CHADEMA ni mali ya mtu BINAFSI mlikaidi...leo muona kwa macho lakini kwa vile ni akina TOMASO subiri neema ya MUNGU iwafunue:A S-cry::A S-cry::A S-cry::A...
  12. C

    Kama wewe ni Fisadi na una uchu wa Madaraka ondoka, kwani CCM si mahala pake

    Rai kwa wanachama wa CCM,bado kuna watu hawaamini kama CCM inafanya mapinduzi katika kuwatimua au kuwakata mafisadi wote ambao hawataki kuacha tabia ovu ,ya dhuluma na uchu wa madaraka. Tukisema no ni big "NO"....ni heri CCM ibaki na wanachama Mil.5.5....kuliko nyie lak5 mnahongwa na kupoteza...
  13. C

    Dk. Slaa atikisa

    Namshauri arudi CCM maana huku tunatimua mafisadi kisayansi...anakatwa tu
  14. C

    Dr. Slaa kakatwa kisayansi na Mbowe, Wajiandae kumpokea na ROSTAM ili safu ya ushambuliaji ikamilike

    Hii ndiyo siasa kuwa sihasa,No Lowasa without RA and the vice versa is true as per Newton's 1st Law of Force. Undercarpet,RA is already a member of CDM whether u like it on not...,that's why we call him the king maker of EA. CCM itashinda lakini kwa taabu maana Lowasa kwacha mapandikiza...
Back
Top Bottom