Recent content by CDM

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Huu ni ujinga no kujiabisha tu kama nchi!! Nani alitoa majina ya Kwa Remmy,Kwa Ali Maua ,kwa Kopa au kwa Komba? Tutaendelea kuita mtaa wa Wanyama hata kama hataki
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hongereni wana Mbeya Mjini mmepata jembe, Dr.Tulia Ackson atawafaa sana 2020

    Dr Tulia ni wa Rungwe !! Hata huko mmhh
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Sheria ya Jamhuri inayompa RC nguvu ya kumuita mwananchi yeyote anayeishi mkoa wake!!

    In his presence commit ... hivo ni yule tu anayevunja sheria mbele yake
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hakuna kesi ya uchaguzi iliyotengua matokeo hadi sasa

    Nangole wa Chadema alivuliwa ubunge Longido na mahakama
  5. C

    JamiiForums Tanzania DC Hapi: Ajira ni aina fulani ya mfumo wa utumwa; Ashauri wasomi kujiajiri

    Yeye Hapi haona faida ya kujiajiri ? mbona bado yupo kwenye payroll.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Lipumba: Mimi bado ni Mwenyekiti wa CUF, sitambui kikao cha Zanzibar

    Mfa maji haachi kutapa
  7. C

    JamiiForums Tanzania UKAWA kutoshiriki mchakato kura za maoni Aprili 30, 2015

    Sahihi kabisa: Ukawa hakushiriki kuifikisha hapa ilipo. Hawana control na utangazaji wa mshindi halafu watapoteza Nguvu na resources kibao kwa ajiri ya uchaguzi mkuu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Rais wa Zanzibar ni Muasi?

    Acha umbumbumbu kmkm sio jeshi ??
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wako wapi G55?

    17: Hombee alikuwa mbunge wa Mbeya vijijini. Rungwe alikuwepo Emanuel Mwambuluku wakiwa pia naibu waziri
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ndani ya BBC: Kitila Mkumbo atetea 'Ushoga'

    Ukipewa msaada wakakupelekea moto upande wa pili utakubari??
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na alichoandika Mch. Msigwa. Kuhusu Nduli

    Bora Nduli iende kwa mafisadi inanikumbusha nduli idd Amin dada
  12. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM, CHADEMA (Sehemu ya Pili)

    Kitila sio mwadilifu ,ofisi ya umma inajengwa katika uadilifu kwanini kamdanganya mwajiri kuwa hajiusishi na Siasa za uongozi wa vyama? Hata kama Kitila na Zito wataanzisha chama leo, kama wataendelea na tabia zao wakiwa chadema, watapigwa na wafuasi wao. Inawezekana vipi ukawa una lengo la...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM, CHADEMA (Sehemu ya Pili)

    Kitila sio mwadilifu ,ofisi ya umma inajengwa katika uadilifu kwanini kamdanganya mwajiri kuwa hajiusishi na Siasa za uongozi wa vyama? Hata kama Kitila na Zito wataanzisha chama leo, kama wataendelea na tabia zao wakiwa chadema, watapigwa na wafuasi wao. Inawezekana vipi ukawa una lengo la...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu kuondoka ni hasara kwa Taifa

    Kumekuwepo na shinikizo la kumuondoa Mzigo Pinda u PM. Hakika ningependa aondoke, lakini nilifikiria gharama za kumhudumia yeye na ajaye mpaka waondoke duniani . Naona bora amalize tu. kama Lowasa hakupaswa kupata benefit zozote, lakini bado anatubebesha nzigo wavuja jasho . Tuhakikishe kwanza...
Back
Top Bottom