Habari wakuu. Mimi ni kijana, nina kazi nzuri tu inayoniingizia kipato cha kutosha.. Nina mpnz wangu ambae tulianza mahusiano nae mwezi March mwaka huu. Nilipanga yeye ndo aje kuwa mke wangu siku moja. Ila toka niwe nae sijawahi kuhisi raha ya mapenzi . Nliwah kugundua ana mahusiano mengne na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.