Recent content by ccmdaimagirl

  1. C

    JamiiForums Tanzania Watu jasiri, wawazi, wapinga mafisadi na mamafia, chukueni tahadhari kipindi hiki kuelekea Oktoba 25

    #achatufe tutaendelea kupreach UKAHAWA hawatufai Tanzania. Magufuli pekee ndo atakaeweza kazi na ataadabisha Mafisadi wote
  2. C

    JamiiForums Tanzania Serikali inayoongozwa kiujanja ujanja na uongo haina la kujivunia ikiwa umeme umeshindikana

    unazurura kijana mzima si ushike jembe ukalime? hata mchicha na vimatembele ukachume
  3. C

    JamiiForums Tanzania Serikali inayoongozwa kiujanja ujanja na uongo haina la kujivunia ikiwa umeme umeshindikana

    atachapa Kazi gani kwa mfano....ikiwa kuhutubia tu mkutano dakika chini ya tani anatetemeka na kujinye....?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa na UKAWA wamesahau kuwa SIASA NI SAYANSI

    kusoma kuwashinde haya na picha nazo mnabishia? ukisema tupitie pics za kila mkutano wa wagombea wanapoomba kura kwa wananchi utakuta Magufuli anaongoza. tena na watu wanavaa sare kabisa wakimanisha ni wanachama sahihi ndani ya 90% iliyosemwa. #HapaKaziTu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa kustaafu siasa

    Akanyee debe hukoo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuhutubia kwenye viwanja vya Mwembeyanga ni dhihaka kwa wapinga ufisadi nchini

    Maana mpaka sasa bado anaiba akili za vijana wa bodaboda, mwizi mwizi tu jamani. CDM mwaka huu mmejiabisha kwa kweli
  7. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    umenisumbua kusoma lakini una akili sana, hongera kijana. #hapakazitu Magufuli is the only best option kwa watanzania mwaka huu.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Baba yule alikua ana mawazo makali sana, utadhani alikua anaiongelea 2015 yaani, aliona kila kitu.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    pole yake sana aisee, 2020 yenyewe watakua wanarecover hii blander ya mwaka huu, lets wish them well 2025
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    ROST LA HAMU NA-NDIZI bado anamwaga hela..kwa wananchi wadogo wadogo wajidai viziwi
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Hivi bado tu watu wana bishana na manunuzi ya hicho chama....daah. soo sad yaani...basi subirini tu october matokeo yakitoka. #hapakazitu
  12. C

    JamiiForums Tanzania LOWASSA agoma kujibu swali la RICHMOND mkoani Dodoma

    ITENDEE HAKI NCHI YAKO. anatupotezea tu muda huyu mbaba.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    yaani huyu baba ingekua naruhusiwa kumfukuza ningemfukuza aisee....kwanza ni aibu hata kumuongelea...tabora aibu
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Inabidi urithishe watoto wako...maana CCM kutoka bado sanaaaa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Si Ifakara tu, ni Tanzania nzima....kura zote za ndiyo. ushindi 90%.
Back
Top Bottom