Kama alijua mapema kwamba walinzi wameondolewa mbona hakwacha kwenda kwa hofu ya kiusalama?
Au kwa mda huo hakuwa na akili ya kiufaham mpaka alipopigwa shaba ndo akajitambua?
Acha upuuz wa mikumbo ya kijinga,nafac ya rais ni kubwa sana.kushughulika na mjinga mmoja.
Kama magufuli amehusika bac huyu mnayemwona mungu mtu leo,asingeandika bandiko hili"angekuwa ahera".
Tusitafte kiki za kijinga,Tl awe mwazi kwa kinachommaliza.
Hakika tukio la shambulio la huyu mwanaharakati lnaumiza na halikubaliki kwa kila mzalendo mtanzania.
Ila...sababu za shambulio na waliotekeleza shambulio bado ni siri iliyofichika,sihitaji sana kuchambua makala hii japo naamn kulishwa "matango poro".
Pole sana brother Lissu.
Anaganya tu upuuz wa kuahidi mifuko ya saruji vijijin alihali hatekelezi ahadi mf.aliahidi mifuko 200 katika kijiji cha natta tangu mwaka juzi mpaka sasa hajatekeleza.
Ww hujui kama kila binadam ni kichaa?
Hata ulipo hapo ww una sehemu ya ukichaa.
Pia usizoee sana kumwita kiongozi mkubwa kama huyo eti mhuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.