Kwa maoni yangu,wagombea wafuatao ni hatari kwa uhai wa ccm,kama miongoni mwa hawa atapitishwa kupeperusha bendera ya ccm,kuna hatar kubwa ya ccm kupoteza urais.
1. Lowassa- Ana kashifa kubwa ya ufisadi wagombea wote wanamnanga kama fisadi,ana makundi(mtandao) ambao ni hatari kwa chama,CCM...