cbandiho
Member
- Sep 2, 2012
- 67
- 47
Mhe Rais, Tafadhali siku yoyote wakati wowote ikikupendeza, naomba usome ushauri wangu na ikikupendeza zaid ufanyie kazi.
Mimi ni miongoni mwa watanzania uliowaomba wakuombee,lkn kila nikiomba naona giza lmetanda bungeni na giza hlo linaonekana kwa wazir wako.
Kabla sjaendelea zaidi, naomba ninukuu mandiko matakatifu kutoka katika kitabu cha nabii isaya.
"Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja, Na utukufu wa Bwana umekuzukia.
2 Maana, tazama, giza litaifunika dunia, Na giza kuu litazifunika kabila za watu; Bali Bwana atakuzukia wewe, Na utukufu wake utaonekana juu yako.
3 Na mataifa wataijilia nuru yako, Na wafalme kuujia mwanga wa kuzuka kwako.
4 Inua macho yako, utazame pande zote; Wote wanakusanyana; wanakujia wewe; Wana wako watakuja kutoka mbali. Na binti zako watabebwa nyongani.
5 Ndipo utakapoona na kutiwa nuru, Na moyo wako utatetemeka na kukunjuka; Kwa kuwa wingi wa bahari utageuzwa kukujia, Utajiri wa mataifa utakuwasilia."
Mhe. Rais uwepo wa mawazir wako bungeni ni uwepo wa serikali yako. Wewe Rais wa Jamuhur ya Muungano wa Tanzania, umeapa kuwatumikia wananchi. Umeapa kurudisha heshima ya serikal, unahitaji viongozi watakaokusaidia kutimiza dhamira hiyo ya dhati uliyonayo.
Mhe Rais, wewe umetokana na kura za watanzania, wabunge pia wametokana na kura za wananchi,kwa sasa wanashauku ya kukusikia kila wakati unapoongea au kutoa hotuba kwan hotuba zako zmejaa matumaini kwao, wananchi pia wanashauku ya kuona wabunge wao jinsi watakavoibana serikali ,wanataka kuona dhamira yao katika kukusaidia wewe katika kutekeleza dhamira yako njema ikiwa ni kufichua maovu ili wakusaidie katika dhana ya UTUMBUAJI MAJIPU.
Kukusaidia hakumaanishi kukusifia kila wakati, hakumaanishi kuficha maovu katika serikali na kutangaza mema tu, kunamaanisha kukukosoa pale unapokosea na kukushauri pale ulipoteleza.serikali yetu inautaratibu tuliojiwekea ni vema kila mmja wetu akatumia utaratibu huo, kanun na sheria zilizopo kutekeleza majukumu yake.
Mhe.Rais sijui ni wazir gan huyu aliyetandwa na giza katika serikali yako, sijui ni kwa nn anataka kuwaweka wananchi katika giza, anataka kuwanyima wananchi unaowatumikia kuwasikia na kuwaona wawakilishi wao wakitimiza majukumu yao bungeni.Hawa wawakilishi ndio wasemaji wa wananchi, ndio wanataka kuona serikali yako inawajibika,wanataka kuona, kusikia na kuhisi mabadiliko kupitia kwa wawakilishi wao, lakin wananyimwa Uhuru huo, anayewanyima ni wazir wako, ni serikali yako.
Huyu anayetaka wananchi wawe katika giza amebeba uovu, huyu ni wazir wa kumwangalia kwa makin,huu uovu lazima uutoe mapema ni vema ukaukemea wakati haujakomaa, ukikomaa utaota mizizi.
Huyu huyu naiman ndiye mmoja wapo aliyekuletea mgogoro na mashirika ya misaada ya kimataifa, usipokuwa makini atakuweka katika mgogoro wa kidemokrasia ndan ya nchi na hata na mataifa mengine.
mhe Rais kama shinikizo la kutoonesha bunge live halijatokea kwako na halitokei kwako Tafadhali tafakar ushauri wangu kwa kina na hasa rejea nukuu ya mandiko matakatifu niliyoyaweka.
Hii ngoma unaicheza wewe na wewe ndiye mpiga ngoma.udharimu mwingi dhidi ya wananchi umefanywa na mfumo ulionao na mawazir wako wanatoka katika mfumo huo, tazama sana wasikugombanishe na wapinzani. Waogope wasaidiz wako wanaofanyia sifa, wanaotaka wafiche maovu na mazur tu yaonekane, hakika nakwambia ukiwaendekeza viongozi wa namna hii, siku akitokea mtu akafunua makabur hayo, uchafu huo,wana wa nchi hii hawatakusamehe.
Mungu akuongoze katika kuwatumikia watanzania kwa moyo wa dhati.Watu wote wanatumain utawatoa katika giza na kuwapeleka katika nuru. Wazir huyu hafai kuwa katika nuru unayoitafuta.
Namaliza kwa nukuu kutoka katika kitabu hcho hcho cha Isaya.
Isaya anasema"Watu wako naona watakuwa wenye haki wote,nao watarithi nchi milele,mdogo atakuwa elfu,na mnyonge atakuwa taifa hodari,mimi bwana nitayahimiza hayo wakati wako."
Mungu ibariki Tanzania na Watu wake.