Wadau habari zenu
Mke wangu amejifungua hivi karibuni, hivyo tuna mtoto mchanga nyumbani
Sasa dada wa mke wangu alikuja kwa ajili ya kumsaidia mzazi na kichanga, tangu amekuja amekua akiniita jina '' mme wangu '' kwa utani tu, nami pia umuita '' mke wangu '' sasa kitendo hicho cha mm na...
Concern yako na ushauri wako nimeuchukua kikamilifu, nashukuru, ila naomba na mm muelewe malalamiko yangu
Mama watoto wangu amejifungua juzi tu mwezi March mtoto bado ni mchanga, mazingira ya mama mwenye kichanga mnayajua akili yake yote kwa sasa ipo kwa mwanae, mimi baba mahitaji yangu kwa...
Mkuu Sijasema hivyo, najua wengi huwa mnafanya massage, ila kwa mawazo yangu mtu ukiwa unahitaji kuendelea na hiyo hatua ya mbele zaidi ndio utafanya zinaa lakini kama shida ni kutibu mwili tu na kuondoa stress massage haina shida mkuu
Mama, massage ya nyumbani hainogi, nimefanyiwa sana na wife lakini huwa hainogi kama ya saluni, nyumbani mtu unafanyiwa massage huku unaelezwa matatizo sasa massage inageuka kero, lakini watoto wa saluni hawana hizo wanakufanyia massage kama vile macho yao yana usingizi
Halaf who knows kwenye...
Massage ya nyumbani hainogi kama ya kwenye saluni, nyumbani unafanyiwa massage mara mtoto anaanza kulia, mama anaacha kukuchua anaenda ku attend mtoto nusu saa nzima au lisaa
Halaf nyumbani hakuna "happy ending" labda ubembeleze sana
Wadau nawasalimu,
Mke wangu ni mkorofi sana, naweza kusema hivyo, Jumapili nilikwenda kupata huduma za Barbershop iliyo mtaa wa pili kutoka mtaani kwangu, hii ni pamoja na kunyoa, scrub na mwisho nikaingizwa kwenye chumba cha massage
Wakati naendelea kufanyiwa huduma ya massage ghafla akatokea...
Kama Russia ataendelea na hii arms race dhidi ya nchi za magharibi basi ni wazi anakuja kufilisika maana anataka kujibu chochote afanyacho America
Pia huwa najiuliza hizi nchi majirani wa Russia hivi hawana haki ya kufanya maamuzi yao hadi Russia awapangie? Romania ni taifa huru ina maana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.