Sasa hapa ndo machozi yamenibubujika haswa, Mungu akubariki sana we Mama, majina na id zetu zinaweza kuwa za mchongo ila maombi yetu hua ni ya kweli
Moja ya Viongozi wanaonifanya nijiskie fahari kuwa Mwanachama wa Chama. Unaupiga mwingi alafu kwa kasi ya ajabu!
Unachanganya madesa Mkuu..
Usimuamini kila mtu, hii haimaanishi we ni mnafiki, hapana! Inamaanisha unaelewa namna akili za watu zinavyofanya kazi.. na unatambua kwamba hakuna alie sahihi 100% na wew ukiwemo..
Ila Wewe ndo unajua unataka nini kwa wakati gani na kwanini.. sasa hebu nambie kipi...
Nope! Sio kweli
Kuna watu wana emotional Quotient ya hali ya juu sana yaan anaweza kuwa hakubaliani na mitazamo ama mwenendo wako wa maisha ila still akawa anaongea na wewe vizuri tu.
Ukiweza kudhibiti hisia zako na ukiwa na uelewa mkubwa wa mambo utatambua kwamba kila mtu analo la kukufunza...
We ungekua umeajiriwa kama Mwalimu nahisi saizi ungekua ushajinyonga kabisa.. Kuna kazi bila wito haziendi, ukitanguliza maslahi hautakua tofauti na israel mtoa roho..
imagine aliegundua Panadol angekua na akili kama zako? Kidonge kimoja kingekua buku!!
Fanya kazi kwa Moyo na wito!! Huwezi kuwa...
Elezea hata kidogo mnunuaji atafaidika na nini umo.. alafu enoko ni wengi
Ukute ni kitabu cha Enoko yule muuza vifaranga chotara pale Kimala.. utuingize mkenge maniga!! More Detailz mzee
Oya! Amani ni jambo la msingi, Raisi wetu yupo sahihi.. Tanzania ipo salama chini ya Uongozi wake huku uswahilini life linaendelea kama kawaida, wenye mishemishe wanaingiza kama kawaida wazembe nao wanaotea za hapa na pale.. usalama ni full ukiiba wala kudhuru polisi wanakushenyenta in no time...
Endelea kukaza fuvu, unatumia akili kubwa na muda mwingi kwenye vitu vidogo visivyo na msingi
Sijui kama wazungu wangekua wanapoteza muda na mambo ya kiarabu leo tungekua tunabishana kwa namna gani… maana hao wavaa uchi na mashoga ndo tunawategemea kwa kila kitu.. wale wenye utamaduni safi...
Yaan Mwili una viungo viiiiiingi ila we uchi ndo umeona ndo wa muhimu sana Jomba!!
Tatizo kuto kusoma elimu ya duniani ndomana hata kitabu tukufu vya maana mmeona ni ngono tu sijui mabikira 72 wenye macho kama…… nyambaf!!
Yaan Mtume alipigana mpaka na malaika ili kuandika maneno ya kheri ila...
Wazee wa kabila lako kabla ya ukoloni walikua wanatembea Uchi na wengine wakijistiri Ngozi za wanyama.. hivi wao Watakua Motoni ama??
Ukikua utaelewa kwamba Dini na imani ni vitu vya akilini.. ukivihamishia mwilini vitakugeuza mtumwa wa Hiari na si ajabu ukalikosa Lengo kuu la hiko...
Piga nyeto.. ndo tiba mujarabu
Ukianza kuwaza usaliti wake piga nyeto.. moyo ukianza kuumia piga nyeto.. timua hiyo Pepopunda then anza kupiga nyeto..
Ujue most of our problems are 90% psychological and 10% physical, and most of our physical problems are 99% chemical and <1% Psychological...
Kama Haulipwi Vizuri acha Kazi katafute Wanapo lipa Vizuri, Ajira kwenye taasisi za Umma haswa nchi za kijamaa hua zinatanguliwa na wito, then uzalendo alafu ndo maslahi binafsi..
Tatizo wabongo Serikali ya CCM inatuhurumia sana na kutudekeza.. nchi kama China hapo kuna watu saizi wangekua...
Hizi nyuzi za dizaini hii hua zimekaa kiwaki Sana na ndo zinasababisha vijana waone darasani hakuna maana sababu ya mabush loya mnaojikuta malejendali wa hustle za mtaa!
Msiwapanikishe madogo maana asilimia kubwa ya hizo akili za mtaa mnazoringiaga hua ni dili feki feki ama haramu.
Sasa dogo...
Kama Muhanga Wa Ajira wa Muda mrefu naunga mkono bandiko lako Lucas Mwashambwa, Mama kawafikia vijana na kuna wengine isingekua awamu yake hii huenda ajira tungekua tunazisikia redioni tu
Hakuna uongozi unaweza kutosheleza matakwa ya kila mtu ila huu wa Huyu Mama yetu ni nafuu na unaleta...
Serikali inapotoa maelekezo muwe mnazingatia, kwenye utumishi wa Umma hakunaga kitu kinachoitwa “majaribio” ni maelekezo to utendaji.
Wasiliana na Afisa utumishi wa Wilaya aone namna ya kukusaidia.
Mfumo ulishafanyiwa Majaribio zamani sana na ukaonekana unafaa saizi upo katika maboresho zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.