Kwa uelewa wangu zote zinatoa huduma ya chakula na malazi ila zinatofautiana maeneo. Hotel mara nyingi ziko katikati ya mji, lodges zipo nje rural areas (porini huko), motel ni kwaajili ya wanaosafiri na motor vehicles hence the name, guest houses ni kwaajili ya wageni wanaotoka mbali na sehemu...
KISA CHAO KILIKUWA HIVI
C&P
Nilikutana na wewe mke wangu ukiwa ni mwanachuo katika chuo cha Mwalimu Nyerere kigamboni. Tukaanzisha mahusiano ya kimapenzi.
Mimi ni muislamu lakini mwaka 2008 nikaamua kukuoa kwa ndoa ya kikistru kanisa la Assemblies of God Upanga, bila ya shaka nimefanya hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.