Nashukuru kwa maoni yenu. Vitu ntanunua soko kuu ntadamka, ntajitahidi kuweka viungo mfano binzari,nazi, ntazingatia usafi, uchangamfu, customer care msijali dada yupo vizuri kwenye hilo anafaham vizuri haya mambo, ntafanya projection kujua sahani zinazotoka ktk kila kilo, mimi ntakuepo jumamosi...