Pamoja na exposure pia inasaidia kufanya kazi kwa bidii,vilevile marafiki ulionao kama ni watu wa kujituma nawe pia itakutia moyo wa kufanya kazi ili muendane
Inategemea na eneo unalofugia kwasababu magonjwa mengi yanatokana na muingiliano na kuku wengine kwenye eneo unalofugia lakini ukiwa umejitenga ni ngumu kushambuliwa na magonjwa mara kwa mara...But all in all mafanikio ni mchakato unahitaji kuwekeza muda zaidi kuliko kuzingatia faida ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.