Daaaaah hali mbaya, watoto wao waliokuwa shule, wanateseka,hawana pakwenda,hadi sasa nawaona, baadhi wamepata chakula na wengine wana hali mbaya kusema kweli. Huku ni kata Kyamulaile Bukoba (v).
Polisi jamani kuwa na weredi wa kazi yenu, mkifanya kazi kwa niaba ya ccm ni hatari, nchi inaangamia.Kamanda Mbowe hiyo ndo starting point tutafute haki na uongo utajitenga tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.