Recent content by Castle_Lite

  1. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar Es Salaam

    Nimesikia story kama hii. Itakuwa ni kweli Jamaa uchumi umeyumba. Na jamaa alikuwa anahisi mke wake ana mwanaume mwingine. Na pia ana process talaka. Kwahiyo vyote hivi Mwanaume ameshindwa kuvivumilia. Akaamua wakose wote.
  2. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar Es Salaam

    kuna taarifa nimesikia jana kwa mtu. Anasema kuna ndugu yake kamuambia. Ambaye yeye (ndugu yake) yuko karibu na hiyo familia. Jamaa Aliachishwa kazi siku nying kidogo. Mama ndio analea familia, Jamaa akawa ana mtuhumu mke wake kuchepuka. Kwahiyo ugomvi wao siku nyingi ndio huo. mke alivyoona...
  3. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Mimi kama atheist 🤔

    Hii ya Mwisho. Nisije nikapoteza network na mm. Nikakumbuka Wapalestina wanavyoteseka 😂😂😂
  4. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Mimi kama atheist 🤔

    Post nying zinafutwaga. Huu uzi hauna Uhai mrefu. Ila Pombe zinatufanya wa ajabu sana. Dah
  5. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Mimi kama atheist 🤔

    Hapa JF. Nina uhakika kwa % kubwa kuwa hakuna mpalestina mwenzako anayesoma hii post yako. Ila kuna Wakristo. Unachofanya sio kuonyesha Chuki dhidi ya Waisraeli. Kwasababu hiyo Chuki ilitakiwa waisikie wao. Bali unakashifu Dini ya wakristo na unawakwaza wakristo. Hii sio sawa bro. Tulewe...
  6. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Mimi kama atheist 🤔

    Kuwa atheist ni jambo moja. Kutukana Dini ya mwingine ni jambo lingine. Unaheshimiwa kwa kusema ww huna Dini. Ila sio sawa Kumtukana Yesu.
  7. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Huruma sio malezi madereva wazingatie sheriaza barabarani ,mlikuwa mnaongoza kuchinja watu

    Kama kuna Usalama. Una overtake kwa tahadhari. Safari za Mikoani malori ni mengi. na yanatembea kama konokono. Overtake muhimu. Mbezi Magufuli - Chalinze. Usipojizima data. Utatumia masaa 4. Barabara karibia yote hiyo imepigwa mstari wa hard line (No overtaking). Sasa Dereva umeona mbele...
  8. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Hii ina-maana Daktari alikuwa sahihi kumshushia KIPIGO Trafiki?

    Tuongelee hasa barabara za mikoani. Hakuna ambaye hajui kuwa madereva wanaonewa. Hakuna ambaye hajui kuwa hata kama Huna Kosa. Traffick anakuambia naomba hela ya maji. Hasa hasa Mikoani. Kwakuwa magari Makubwa yanaingiza hela. Traffick na wenyewe wanaona ndio sehem ya Kuishi nao. Hizi 5k na...
  9. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Hii ina-maana Daktari alikuwa sahihi kumshushia KIPIGO Trafiki?

    Imezoeleka kila siku asubuh kuwa wanaoenda mjini huwa wanatanua. Na ni traffick wenyewe ndio wanakuita utanue njia. Na jion inakuwa vice versa. Sasa siku hiyo Dokta katanua kama kawaida. Maana ni mazoea kutanua njia mida hiyo .na hakuwa mwenyewe. Kuna magar mbele yake na nyuma yake. Yote...
  10. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania NITAWATOFAUTISHA VIPI !??

    😂😂😂😂Watu wamepandisha visukari unafikiri wameambiwa wanaolewa wao. Mwanetu, hebu tuambie kwann umechagua makabila hayo na sio mengine?. Sifa zipi zimekufanya usema hayo makabila.
  11. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Kama umri ungerudi nyuma, kosa gani usingethubutu kulifanya tena kwenye mahusiano?

    Hapa kuna somo kubwa. hebu toa mfano wa red flag uliyopuuzia. Hata red flags 2 na ambazo zikawa mwiba mbeleni. Ila , dah mahusiano haya.
  12. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Kama umri ungerudi nyuma, kosa gani usingethubutu kulifanya tena kwenye mahusiano?

    Sasa Unakutana na mtu mzima mwenzako. Badala akupange na kukuambia ukweli . Ili uamue uishi nae vipi . Yeye anakupanga na uongo mwingiiii. Inakera balaa yaani.
  13. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Kama umri ungerudi nyuma, kosa gani usingethubutu kulifanya tena kwenye mahusiano?

    Ila kweli. Mahusiano yanahitaji kuaminiana. Kutodanganyana. (Kama unadanganya hakikisha unatumia akili ya ziada). Msiaidiane mambo ambayo hamuwez kuyatimiza, Yaan Be Real, Be You. and try your Level Best to be best version of You. Do what you obligated to do for Him/her. Mengne ni Majaliwa...
  14. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Kama umri ungerudi nyuma, kosa gani usingethubutu kulifanya tena kwenye mahusiano?

    Mallerina naona kabisa ww mbinge mbinge za mahusiano ushazizoea. Sasa ukute unaingia kwenye mahusiano na yule mlokole anayekuita Madam au mshamba mmoja wa mahusiano au kijana mlaini mlaini. Yaan naona kijana wa watu atalia kama ambulace. Huku ww haujali 😂😂😂😂
  15. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

    Sawa mwanetu. hebu nisahihishe hapa. wayahudi waliofuata torati ya Mussa walikuwa na dini gani?. Judaism wa sasa wanamuamini Mungu mmoja na mtume wao ni Mussa na wanaishika torati. Je wanatofauti gan na wale wa zaman?.
Back
Top Bottom