Recent content by Casta

  1. C

    JamiiForums Tanzania HESLB muda wa kufanya marekebisho usogezwe mbele

    Tafadhali nisaidie mm nilikosea namba ya mtihani wa form 6 kwenye application za helsb sasa nitaweza fanya masahihisho tena ? Nilog in tena?? Na hard copy inatumwa tena baada ya corrections?? Mwenye idea about to do plz nisaidie am realy stuck!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Uwanja umetapika yaani haitakiwi mtu kusimama ukisimama mwenzako ansogea then ukitaka kukaa hupati nafasi unaona peeeeeeeepooozzzzzii??mabadiliko lowasa!lowasa mabadiliko ! Watu wote ni Lowasa !!!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Jamani tupatieni update ya hali ya jangwani ss hv kukoje watu wameanza kuingia??
  4. C

    JamiiForums Tanzania Bunda tumeamua kuipiga CCM chini

    Mpige chini akamate adabu maan ccm wameishajiaminisha kuwa wao nchi hii ndiyo wenye haki kuila wengine no kwa nn? Piga chini mpe bibie bulaya angalau ana heshima na utu. Piiiiiposssss! Lowasa !mabadiliko na mabadiliko Lowa saaaa!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Kwa kuwa muda unaweza kuwabana ukawa kesho na mambo ni mengi bora shamra2 zianze saa 4 asbh ukizingatia kuna wageni wanatambulishwa na kuwapa wajumbe nafasi ya kutoa salaam na burdani. Isiwe kama Ccm walivyoshindwa manage time wakapitilza na kukiuka sheria ya Nec
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mgombea Ubunge Sikonge, Said Nkumba (CHADEMA) arejea rasmi CCM

    P m
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Alinserema ya Magufuli inanibore sana tuone kesho kama itapata nafasi kuimbwa pale jangwani. Bora angeimba wimbo wa CCC Ni IleIle!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Lowasa :mimi sina kawaida ya kushindwa
  9. C

    JamiiForums Tanzania iphone 5s used 1 month

    Tupatie bei tununue
  10. C

    JamiiForums Tanzania AG Masaju, ndiye mtumishi pekee katika Serikali ya Kikwete asiyepokea rushwa!

    Ni mcha mungu kweli hawezi pokea rushwa karidhika sana na hana utajiri wowote mali aliyo nayo kaipata kutikana na nafasi alizotumikia Ikulu Hasa safari za nje ya nchi akiwa na JK wakati ameanza za Vasco Dagama
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ubunge Viti Maalum: Wakati Wema analia, Keisha anacheka

    Wema asikate tamaa ajaribu tena 2020 aanze kujijenga.naona alikwenda huko amechelewa wanyaturu hawakmuelewa kama ana nia kweli .
  12. C

    JamiiForums Tanzania UKAWA waita Wahariri, waahirisha ghafla na kuomba radhi

    ukawa kupata ushindi lazima Lowasa akae pembeni asigombee awe mwanachama wa kawaida atakuwa amepata muda wa kujijenga ktk chama asubiri 2020. Mabregina usilegeze msimamo mshauri mzee Eddo atulie ktk ccm ili mafao yenu ya upm yaedelee kutolewa na serikali.
  13. C

    JamiiForums Tanzania George Simbachawene hoi jimboni kwake Kibakwe,90% anapoteza jimbo

    Hawezi kushinda wagogo wana hila kama wameishaambiwa kuwa ni tajiri ana nyumba uingereza na wao hawajafaidi kitu watamyima tu kura.bado jirani yake Ndugai naye hoi kabisa.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge James Lembeli arudisha kadi ya CCM, kuhamia CHADEMA

    Amesoma alama za nyakati kabla ccm hawajampiga chini bora awahi cdm! Lkn ni pigo kwa ccm ana followers wengi!
  15. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aenda Uswisi

    Acha akapumzike alikuwa na kibarua kigumu sana.
Back
Top Bottom