Recent content by cassavaleaves

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wachina wamejaa Tanzania, sasa hivi wameanza kuhamia Mbeya

    Traxtion: Race ya mtu mweusi imepata exposure ya elimu ya mtu mweupe miaka imekwenda sasa, tunachoona ni regression tu! Tunabakia Ukoloni, mara Ukoloni mamboleo! Mabeberu! na Weusi walioko Marekani wimbo wao ni Racism!! South Africa ndio mfano mzuri! Miaka almost 30 toka Apartheid iondolewe...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wachina wamejaa Tanzania, sasa hivi wameanza kuhamia Mbeya

    Sayansi inapindishwa tu! Ukweli uko wazi kama nuru na giza! Mwenye macho haambiwi ona!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Je, upinzani wanamiliki mali zipi za chama? Kama hawana wanachomiliki, kuna hatari wakichukua dola, watatumia mali za serikali kuendesha chama.

    Hivi wewe unaijua historia ya nchi hii kweli? Unajua CCM imepataje mali hizo? Fanya utafiti kidogo kabla hujakaa kwenye Keyboard
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi

    Saudi Arabia is the leading Arab nation for students in the U.S., with over 15,000 students in the 2022-2023 academic year. Other top contributing nations include Lebanon, Oman, and the UAE, though enrollment from these countries has recently seen declines. Saudi students are often supported by...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi

    In the 2024/25 academic year, over 1 million international students studied in the U.S., with India and China being the top countries of origin. Key sending nations include India (363,019+), China (265,919+), South Korea, Canada, and Vietnam, largely driven by demand for STEM fields...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi

    Wamtegemee nani Hasa? Tumeona Syria.....Tunaona Iran!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuilipua Al Kaaba Endapo Saudi Arabia Itaendelea na Msimamo wake

    Wengi wanaamini hivyo Mkuu...! Bila kujua taha Kiarabu sio Lugha yao...!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuilipua Al Kaaba Endapo Saudi Arabia Itaendelea na Msimamo wake

    Mkuu, kwanza kabisa Wairan yaani waajemi sio Waarabu....hata kiarabu sio lugha yao! Uislamu umepelekwa huko kama ulivyoletwa Tanganyika! Before Islam, the primary religion of ancient Persia was Zoroastrianism, one of the world's oldest monotheistic faiths founded by the prophet Zarathustra...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Iran huwa hailichukulii kwa uzito suala la usalama wa viongozi wake?

    ITR: Kwa kifupi inafikirisha, lakini kuna mambo mengi mno nyuma ya pazia jinsi Iran inavyoendesha siasa zake, kama hisia za kidini kupewa kipaumbele katika mambo ambayo akili ambazo kila binadamu tu zinaweza kutumika. Kumbuka pia Wananchi wa Iran wamegawanyika mno! Si kama tunavyoona kwenye...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Sherehekeni kwa muda, mnaenda kupewa somo

    Pole Adios.......Dunia itaendelea tu...! Yametokea mengi mno duniani......Vita vya Kwanza....Vita vya Pili....Covid.....Kufa kwa Gadaffi....Osama.......Sembuse huyu Mzee....Usilete vituko hapa!
  11. C

    JamiiForums Tanzania Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

    Wakati mwingine jifunze kuwa kimya Mkuu! Jipe muda wa kutafakari! Unataka kusema Ayatollah Khamain hakujua vita inakuja! Hiyo military machineries alikuwa anadhani ni utani? In short ni kama unasema Iran ni mazezeta! Tulia kidogo Adiosamigo.....Tafakari labda unaweza kupata njia ya kuwasaidia...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

    Ngwathra: "Uzuri miaka 50 ijayo hakutakua na kitu kinaitwa dini ulimwenguni, tunarudi kwenye default settings" Ipi ni default settings? Mwanadamu ni incurable religious! Lazima aamini kitu fulani! Mababu waliamini chochote kile! Radi, mito, milima! Jua, nk! Mpaka walipopata replacement ya hizo...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Sielewi wairan wanaandamania nini?

    Kimsboy: Unajiuliza Mkuu? Jamaa zako wamekuwa possessed na Israel na Amerika! Wakilala "Death to America" "Death to Israel" Wakiamka wimbo nu ni huo huo! Miaka na Miaka! Huu wimbo umewachosha wananchi wake! Unajua ni mamilioni mangapi wamepoteza Kwa Hezbollah? Kwa HAMAS? Syria?Wairan wangapi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Inashangaza kuona China anayeikalia Taiwan na Russia aliyevamia Ukraine anailaumu USA kuivamia Venezuela

    Mfano uliotumia hauleti mantiki, Mwinyi kama Rais halali akapingana na watu, akapeleka makao makuu Mafia inabakia hivyo, yeye ndio serikali ya halali, waliochukua nchi hawana uhalali ila wamejihalalisha tu! Ndivyo ilivyotokea China!
  15. C

    JamiiForums Tanzania Inashangaza kuona China anayeikalia Taiwan na Russia aliyevamia Ukraine anailaumu USA kuivamia Venezuela

    Mkuu Titicomb: Hebu nipe maelezo kidogo kuhusu Taiwan, kila napoirudia historia huwa naona Taiwan ndio ina haki na Mainland China sio vice versa. Mtazamo wangu ni huu, Chang Kai Shek ndiye alikuwa kiongozi halali wa China na ndio alifanya kazi kubwa mno kuitoa China huko chini ya chama cha...
Back
Top Bottom