Recent content by cash_money

  1. cash_money

    God existed before time and He created time

    Habari zenu ndugu zangu, hongereni kwa mjadala moto, ngependa kuwapatia habari njema ambayo inahusiana na mjadala huu kwanza nianze kwa kusema hakuna swali gumu lisilokua na jibu narudia tena HAKUNA SWALI GUMU LISILOKUA NA JIBU hata maswali kuhusu MUNGU naomba ieleweke hapa siongelei mungu wa...
  2. cash_money

    House4Rent HOUSE4RENT-KIMARA STOP OVER

    Nyumba kuanzia 200k Sent using Jamii Forums mobile app
  3. cash_money

    House4Rent HOUSE4RENT-KIMARA STOP OVER

    Mitaa ipi na mwaka gani?kimara ya sasa c ya miaka ile mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. cash_money

    House4Rent HOUSE4RENT-KIMARA STOP OVER

    Inategemea na usasa wa nyumba mkuu, mara nyingi huwa napangisha kwa hyo bei tena zinagombaniwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. cash_money

    House4Rent HOUSE4RENT-KIMARA STOP OVER

    Mm napangisha nyumba nzima sio chumba mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. cash_money

    House4Rent HOUSE4RENT-KIMARA BUCHA

    Tsh250000 Chumba, sebule, jiko, choo na store kila apartment inajitegemea luku yake na mita yake ya maji bei ni 250k x 6, apartment moja ndio ipo wazi ipo kimara bucha kutoka main road ni dk 3 tuu kwa miguu Nipigie 0759787679 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. cash_money

    House4Rent HOUSE4RENT-KIMARA BUCHA

    Tsh300000 Hizi apartment zipo 4 kwenye kampaundi moja apartment moja ndio ipo wazi ina vyumba 2 vya kulala HAKUNA MASTER, sebule, jiko na choo cha public maji dawasco masaa 24 bei ni 300k x 6 ipo kimara bucha upande wa kushoto km unaelekea mbezi kutoka main road ni dk 3 tuu kwa miguu Nipigie...
  8. cash_money

    House4Rent HOUSE4RENT-KIMARA STOP OVER

    Tsh500000 Hizi ni apartments 2 mpya kabisa,ina vyumba 4 vya kulala,viwili ni master,jiko na sebule kubwa sana,umeme na maji ni vya kujitegemea,nyumba IPO kimara stop over upande wa kulia ukitokea mjini,umbali wa kilomita moja kutoka main road,bei ni 500k×6 tupigie 0759787679 Sent using Jamii...
  9. cash_money

    Natafuta kazi/kibarua

    Njoo ujifunze udalali wa nyumba Kwangu kimara hutojutia utaingiza zaidi ya 2m kwa mwezi
  10. cash_money

    House4Rent HOUSE4RENT,IPO BARABARA YA GOBA - Kings secondary(kituo)

    Ya 200k ipo nitumie namba nikutue pict wasap uione 0759787679
  11. cash_money

    House4Rent HOUSE 4 RENT. KIMARA MWISHO-Mtaa wa Maduka matatu

    HOUSE 4 RENT TSh250,000 - KIMARA MWISHO Hii apartment anatoka MTU mwisho wa mwez huu,ni vyumba viwili vya kulala,kimoja wapo ni master,sebule jiko,IPO kimara. Mwisho upande wa kulia ukitokea mjini,umbali wa kilomita 1,umeme na maji ni vya kujitegemea, Parking ya Gari ipo,bei ni 250×6 tupigie...
  12. cash_money

    House4Rent HOUSE4RENT,IPO BARABARA YA GOBA - Kings secondary(kituo)

    House 4 rent TSh300,000 Hii ni nyumba ambayo inajitegemea,IPO moja tu kwenye kampaund,INA vyumba vitatu vya kulala,vyumba viwili ni master,sebule kubwa jiko na dining,umeme na maji ni vya kujitegemea,IPO goba kituo kinaitwa kings secondary,ukitokea mbezi mwisho nyumba IPO upande wa...
  13. cash_money

    House4Rent HOUSE 4 RENT,MBEZI NJIA YA GOBA

    Ipo ya 300k km hii,ila ipo ndani kidogo kutoka Barabara ya goba Kama unaenda kimara matosa.
  14. cash_money

    House4Rent HOUSE 4 RENT,MBEZI NJIA YA GOBA

    Pamoja bro karibu
  15. cash_money

    House4Rent House 4 rent, Mbezi kwa Msuguri

    TSh350,000 Hizi apartment zipo 4 kwenye kampaundi moja apartment moja ndio ipo wazi ina vyumba 3 vya kulala kimojawapo ni master, sebule kubwa, dining, jiko na choo cha public maji dawasco masaa 24 bei ni 350k x 6 ipo mbezi kwa msuguri upande wa kushoto km unaelekea mbezi kutoka main road ni...
Back
Top Bottom