Recent content by case mtanga

  1. C

    Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

    Umeona jinsi ulivyokuea na akili fupi hadi umethibitisha maneno yangu kama watoto walikugomea dar hawakuja hata kumuona banu yao sea view ila babu yao alivyokwenda marekani walikwenda kumuona na wewe unadai ni njaa zao jamani watoto wako mwenyewe kweli wewe hamnazo pole lakini uzee umekuingia...
  2. C

    Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

    Wacha porojo zako haya toa hizo karatasi tuzione kama hutajichekesha kama unatekenywa na Davis, wewe ulilipa kodi kuliko Bill Gates na mbona watoto wake hawasomeshwi na serikali, huoni aibu na kuwacheka watoto kuwa na njaa hadi kufikia kuenda kumsumbua baba yako awape pesa kidogo na wewe...
  3. C

    Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

    Mr Gentleman huyu babu lemutuz watoto wake wanasomeshwa na mama yao pamoja na msaada kutoka serikali ya USA sababu wanaonekana ni watu masikini au wasio na uwezo ndio maana serikali inawasaidia na kuwasomesha, yeye huyu babu alikimbia majukumu yake na hapo amerika yeye ni wanted akiingia tu...
  4. C

    Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

    Hahahaha leo povu litakutoka na birthday utaiona chungu haha eti ninafungua media company na partner wangu Davis mosha na wakati ur share ni 0.03% hahaha babu jonga jamani
  5. C

    Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

    hopeful miaka 58 itakuwa na chanzo cha wewe kureason kama mtu mzima na kuacha kutuchafulia mazingira na mikojo yako ya kiutu uzima imekuwa wewe babu kama ngombe kila pembe unakojoa wewe tu basi uache umesikia baba leona enhe watu watakusemea kwa daddy na mummy.
  6. C

    Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

    Miaka 58 itakufanya uwe na akili na uvae vest na uepukane na kujiaibisha na mimajasho mbele za watu na kunuka nuka makwapa na mungu akujalie uwe na akili na miaka 58 ikufanye uache kuvaa maturubai ya kufunikia vitz.
  7. C

    Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

    Napenda kuchukua fursa hii kumu wish baba Agapeo na Leona a very happy birthday, may ur special day be fulfilled with happiness and joy, sadly mama Agapeo yuko busy kuwaekea maisha watoto na kuwatafutia pesa za ada ya college si unajua ma single mother ambao baba watoto wamekimbia responsibility...
  8. C

    Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

    hebu angalieni mtu mzima makamu ya lowasa anavyoadhirika tangu asubuhi ameenda kucheza ngoma ya watoto, amesikia kutakuwa na sambusa na kababu za bure basi alikuwa wa kwanza kufika hata mswaki hajapiga vizuri uso umejikunja kwa uzee haha, huyu babu sijui atakuwa lini.
  9. C

    CHADEMA nitajieni List yenu ya Viongozi wa tano(5) tu ambao wataliongoza taifa , wakati wenu

    Mtoa mada naomba nikueleze kama sisi chadema tuna hadhina ya viongozi waliotukuka na waadilifu na wasomi wa hali ya juu tena wa madhehebu mbalimbali na kutoka kanda zote za Tanzania bila kubagua, chama kimejipanga kuingia ikulu kwa kishindo kikubwa ambacho kitamfurahisha sana baba yetu na...
  10. C

    Lemutuz vs his Diaspora wife

    Jibu swali wewe mtu mzima ovyo acha kutekenyeka kama umeshikwa makalio au haapo sababu uko na shilole na wewe unajiona kadogodogo kama nuhu mziwanda haha, hebu tupia japo picha ya hiko kiota chako cha msajili tukione kama ulivyo kuwa unatupia kile servant quarter cha mzee malecela.
  11. C

    Lemutuz vs his Diaspora wife

    Tunaomba upige japo picha hilo jengo jipya unalosema tulione, manake nyumba ya national housing kama hicho kiota chako cha chumba kimoja haizidi hata laki kwa mwezi so bro acha kupiga kelele, niambie tajiri gani anayeishi kwenye kiota kama chako hapa bongo haha pole
  12. C

    Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

    Hahaha kwa hiyo hata mamakibunju amekuwa ni xwife wako, yaani kila mtu anayekupa madongo ya kweli ni Neema haha, badala ya kuona aibu wrwe hadi leo watoto wako wanalelewa na wanaume wenzako na serikali kama matonya wewe kazi kujisifia sijui nilikuwa nalipwa pesa nyingi sana, toka lini dereva wa...
  13. C

    Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

    wakati wenzako wenye miaka kama yako wanaongea about majumba yao masaki salasala mbweni au mbezi beach wewe babu lemutuz unatupigia kelele kumiliki kiappartment cha chumba kimoja au studio flat jamani kweli wewe babu jinga haha, kijumba cha msajili unalipa elfu 50 unafanananisha na apprtment...
  14. C

    Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

    sasa hebu jamani fikirieni mtu mzima baba wa watoto wawili anavyozalilishwa hivi na watoto wadogo na bado anajiita akili kubwa na degree tatu haha
  15. C

    Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

    Hahaha leo nimecheka babu mtu mzima kumbe kiburudisho cha kina Ridhiwani duh hii balaa na anazidi kudanganya eti Ridhiwani anakaa kwenye nyumba za NHS kama yeye,umezidi uongo babu lemutuz ,Ridhuwani anakaa kwenye bonge la house mikocheni na hadi barabara amewekewa nje ya nyumba yake haha...
Back
Top Bottom