Recent content by carson lee

  1. C

    JamiiForums Tanzania Udereva Serikalini unalipa au una faida?

    Dahh kweli kbsa mkuu ila ishu ipo kwenye kupata ajira tu hapo[emoji22]
  2. C

    JamiiForums Tanzania Udereva Serikalini unalipa au una faida?

    Mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako umenipamoyo
  3. C

    JamiiForums Tanzania Udereva Serikalini unalipa au una faida?

    Jamani ninaomba maoni yenu na mchango wenu kuhusu Udereva wa serikalini kama unalipa na kama ajira zake zinaweza kupatikana Asante
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushari - hivi kati ya banking and finance na accounting and finance ipi ni bora??

    Nashukuru sana mkuu kwa ushauri wako mzuri asante sana Sent from my T702 using JamiiForums mobile app
  5. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushari - hivi kati ya banking and finance na accounting and finance ipi ni bora??

    Wakuu naombeni ushauri wenu ninataka nikasomee kozi mojawapo kati ya hizo either banking and finance or accounting and finance, ushauri wenu kwenye upande wa ajira/kujiajiri. Nitashukuru sana mkinijibu Ndg zangu kwakua ushauri wenu unamaana kubwa sana kwangu Sent from my T702 using JamiiForums...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Bsc in Botanical sciences tukutane hapa tujuzane upatikanaji wa ajira

    Kati ya banking and finance na accounting and finance IPI ni bora in terms of ajira na kujiajiri
  7. C

    JamiiForums Tanzania Bsc in Botanical sciences tukutane hapa tujuzane upatikanaji wa ajira

    Kati ya banking and finance na accounting and finance IPI ni bora in terms of ajira na kujiajiri
  8. C

    JamiiForums Tanzania Bachelor Degree in Secretarial Studies and Public Administration

    Hii kozi kwa wanaume ipoje Nina tamani kujiunga na hiii kozi ila naogopa nisije nikajikuta mwanaume ni Mimi pekebyangu darasani. Na vipi kwenye ajira wanao pewa kipaombele ni wa Dada au wrote ni sawa??
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa Bachelor in legal and industrial metrology CBE, iko vipi?

    Mkuu ulifanikiwa kuenda kuisoma hiyo kozi?? Na kama ndio, uwanja wake wa ajira umeuonaje
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hivi fakat ya BACHELOR OF ARTS IN ECONOMICS ni MARKETABLE?

    K Mkuu uulienda kuisoma hii course
Back
Top Bottom