The Launch Pad TANZANIA wanatoa Mafunzo Ya Maarifa Na Ujuzi Kwa Wahitimu wa Kidato Cha 6 na Wengine watakaopenda kujiunga. Skills Development ni kitu tunapigia makelele kila siku na kwa kweli Vijana wetu wanahitaji hii.
For many decades now in Tanzania, the focus for high school graduates...
i
Kwanza nikushukuru kwa kutuunga mkono kwenye safari ya milele ya kaka yetu mpendwa. Pili, sijui kama ni sawa, na nitalibeba hili lakini naamini kabisa hii post ilikua na lengo zaidi ya hili. Nimejibu tu sababu najua that’s what Franklin would have done. Lakini hili ndio vazi niliovaa...
Hii ndio nguo niliyovaa siku hiyo pamoja na dada zangu wote wa familia. Na chini haikua hivyo tu siku hiyo nilivaa na Jeans nyeusi chini. Hiyo nguo ya ndani aliionaje siwezi jua labda mwenzetu ana super powers. Lakini kila jambo lina fundisho, na kwa kusoma tu maoni ya humu kuna ya kujifunza.
Kila mtu ana kasoro yake kwa binadamu mwenzake..Yamkini kasoro hizo zinaweza zisiwe uhalisia lakini ndio ubinadamu na ndio maisha. Alhamdulilah to EVERYTHING.
Mara ya pili unaongea hivi. Sijui kama ulirudi kusoma jibu kwenye uzi ulionzisha kuhusu mimi. Tafadhali sana tusiharibiane majina nakushauri kama una ushahidi tafadhali ungeuweka tu hapa kama ambavyo ulijaribu kuanzisha uzi wa kunichafua lakini bahati mbaya haikwenda ulivyodhamiria. Pole...
Dear International Community,
Greetings from Tanzania, I am certain Many of you know about/of us considering the headlines we have had for the past 2 years..some may say 2 and 1/2..But we are not counting the first 6..in our defense, We could not have seen this coming. Hashtag What Would...
Habari za Jumapili Bandugu. Kwa wale mlioshiriki kwenye Jumapili ya Matawi leo, baraka za mwenyezi Mungu ziwe nanyi na muwapendao.Nina imani kabisa haswa wale wa KKKT Jumapili hii itakua ya shauku sana baada ya WARAKA.
Hivi karibuni kumekua na matukio kadha wa kadha ambayo yamejaribu kukemewa...
Greetings!
Are you a woman professional in your field? Please fill this survey out! Its 2Minutes top I promise!
Help us identify the gender gap at workplaces- Pay/Managerial Positions/ Life-Work Balance
Please please please
https://www.surveymonkey.com/r/JXWBSFQ
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.