Recent content by Caroline Hans

  1. Caroline Hans

    Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

    Bro umeshawahi kumwambia nini au uko unaweweseka!
  2. Caroline Hans

    Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

    Sawa umeeleweka
  3. Caroline Hans

    Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

    Itafutwa tu bro vuta subra. Acha kuzingua Mungu anaipenda sana Tanzania labda wewe una mungu mwingine!
  4. Caroline Hans

    Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

    Ha ha ha ha umbeya na majungu piga chini.
  5. Caroline Hans

    Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

    Uongozi ni maamuzi!
  6. Caroline Hans

    Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

    Oparesheni kamata wavutaji na watumiaji wa Bangi inaendelea.
  7. Caroline Hans

    Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

    Bro Shirikisha viungo vyako vizuri, 2018 unawaza kumwaga damu? Ishiiiii labda ianze kumwagwa yako kwanza! Unaishi kwenye nchi ya amani na utulivu ndio maana unapata hata muda wa kuposti haya makitu yako.
  8. Caroline Hans

    Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

    Tulieni moto unawafikia taratibu mafisadi nyie!
  9. Caroline Hans

    Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

    Asiyejulikana kivipi akati kamtaja au na wewe umevutishwa majani kwa lazima
  10. Caroline Hans

    Tume ya Uchaguzi imevamiwa?

    Mtoa post unaweweseka aisee! Pia unadharau hata kwa Rais kwamba hamjui vizuri mtu aliyemteua unatafuta kick na huruma! Wewe ni sikio la kufa kafie mbaliiiii
  11. Caroline Hans

    Uchaguzi Liwale: Mgombea kupitia CCM, Zuberi Kuchauka ashinda kwa 85%

    [BQUOTE="Kinjekitile junior, post: 28757974, member: 285549"]kuiba nini au na wewe ni mwizi maana mawazo yako yamekaa kiwiziwizi Bro kuna watu wanawaza negative muda wote.
  12. Caroline Hans

    Uchaguzi Liwale: Mgombea kupitia CCM, Zuberi Kuchauka ashinda kwa 85%

    This time mtaongea maneno yote ndio maamuzi ya wana Liwale hayo tulia.
  13. Caroline Hans

    Uchaguzi Liwale: Mgombea kupitia CCM, Zuberi Kuchauka ashinda kwa 85%

    Vumilia tu maana hakuna namna mlidhani mkisusa wanaliwale watasikiliza ujinga wenu!
Back
Top Bottom