Kama ni kweli kabila gani Tanzania ni wabaguzi ?
Dini gani ni wabaguzi ?
Chama gani ni wabaguzi ?
Rika gani ni wabaguzi ?
Wanawake na wanaume nani wabaguzi ?
Nk
Huwa najiuliza moto au joto linaundwa na nini kiasili hadi kuteketeza mambo ya kishirikina kama matunguri?
Vipi umeme na nguvu nyingine zishindwe?
Wajuvi mtujuze
Salaam JF
Naomba kuuliza Kwanini ni nadra sana kusikia watu wanaloea au kutaka Kuzamia nchini India tofauti na nchi kama South Africa au barani Ulaya?
Kama issue ni ubaguzi mbona nchi kama Hispania na nyingine za Ulaya ubaguzi upo?
Mbona watu wana fanya biashara China na si nchi hii ambayo...
Akili yako ndo imeishia hapo kufikiria Mkuu?
Iko hivi unapotafuta taarifa sahihi hubanwi kutegemea chanzo kimoja, na wakati mwingine unaweza kuulizana taarifa zile zile kwenye chanzo kimoja kwa nyakati tofauti hata namna au njia tofauti
Salaam wana JF
Naomba msaada wa kujua nini vinahitajika kurudisha/kurenew kitambulisho cha taifa
Mimi ni mkazi wa Dar Wilaya ya Ubungo
Nianzie wapi na natakiwa kumuona nani nikiwa na nini
Kinachukua muda gani kukipata mara baada ya kukamilisha taratibu na mahitaji yote
NB. Najua ngeweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.