Sasa kama yeye alionewa watu wakapiga kelele kumtetea, hapo hakuna ubaya maana watu walikua wanataka haki, na hata sasa kama mpinzani anaonewa kisa tu kuna mtu ana nguvu za kiutwala pia lazima watu wamtetee, sababu watu wanaangalia haki na sio upinzani wake
LAANA YA SHAMBA
Palikuwa na shamba moja kubwa, zuri na lenye rutuba ya ajabu. 🌿
Shamba lile lilikuwa na kila aina ya mazao ya thamani. Udongo wake ulikuwa wenye nguvu, na kila aliyelima ndani yake alijua kuwa alikuwa sehemu ya shamba lenye uwezo mkubwa wa kutoa mavuno.
Kulikuwa na wafanyakazi...
Dar es Salaam ina vyanzo vya mapato ambavyo bado havijaguswa. Tatizo si ukosefu wa fedha, bali ukosefu wa ubunifu.
Kila mwaka tunazungumzia namna ya kuongeza mapato ya halmashauri na kuboresha huduma za wananchi. Mara nyingi mjadala huishia kwenye kuongeza ushuru au kodi.
Lakini je, tumeshawahi...
"Mfumo haupendi watu smart."
Watu wengi wakisikia kauli hii huifikiria vibaya. Lakini sikumaanisha kwamba mfumo unachukia watu wenye akili.
Ninachomaanisha ni kwamba, katika mazingira mengi, mfumo huogopa watu wenye maono makubwa, wanaouliza maswali magumu, na wanaotafuta mabadiliko ya kweli...
Historia inaonesha kuna njia nyingi tu ya kupambana na mfumo, kwanza lazima ujue una deal na watu gani na sio kukurupuka, hawa watawala walishamwaga damu na wanajua wana hatia so wanajua kinga yao ni wao kuwa madarakani na wapo kufanya chochote ili waendelee kubaki madarakani
Ukiwa smart...
Jamaa sikujui ila naweza kukushauri nimepitia comment zako kadhaa na nimengundua kitu, unaonekana unapenda kuwajibu watu hata pasipo kufikiria
Kitu usichokijua hao watu unaowaita smart kwanza hawapo na kama wapo basi ni waoga na hawajui hata cha kufanya, na hao unaowadharau ndio waliotengeneza...
Dunia ya sasa imebadilika sana teknolojia inabadili kila kitu, leo tunaona Genz wa Tanzania wamengundua njia nyingine ya kuichosha Serikali, wanaitasha maandamano kwenye mitandao, matokeo yake serikali inahangaika kutawanya vyombo vya dola na kutumia rasimali pesa nyingi kukambiliana na hofu ya...
Wapendwa kwanza niwatakie heri ya X mass na mwaka mpya, then niende kwenye mada yangu
Nadhani hakuna asiyejua kua America ndio baba wa ubepari, kuna miaka hapo nyuma walikua wanajificha sana katika mavazi ya demokrasia lakini tangu aingie mwamba Trump amekua sio mnafiki jamaa kaamuua kuingia...
RC kasikia nakuona watu wakitumia vyombo vya habari kuleta taharuki ya kidini kwa kuahaidi kukata vichwa wenzao na RC hakapiga kimya, leo anajitokeza na kuongea nini mbona haeleweki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.