Recent content by careenjibebe

  1. careenjibebe

    JamiiForums Tanzania Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

    Duh! Unawezaje? Habar unapataje sasa?
  2. careenjibebe

    JamiiForums Tanzania Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

    Ila hao vijana huko polis sijui hatma yao itakua nini? Maana nachoona hapo kuna mkono wa serikal na kuna mkono wa wale waliotendwa na ile app! Nadhani hata wakitoka hawataitaka tena ile kazi na sijui kama atapata wafanyakazi wapya labda ahamishie ofisi kenya!
  3. careenjibebe

    JamiiForums Tanzania Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

    Doh! Kitumbua kimeingia mchanga
  4. careenjibebe

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda aiomba Mahakama siku 21 ili ajibu hoja za Kubenea

    Nadhan kwasabu kesi imewauganisha na watu w serikal kesi haitakuepo
  5. careenjibebe

    JamiiForums Tanzania Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Dini ni iman siyo sayansi
  6. careenjibebe

    JamiiForums Tanzania Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Niache nimezaliwa na kubatizwa pia! Roma!!
  7. careenjibebe

    JamiiForums Tanzania Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Hajawahi kusema yeye ni mungu
  8. careenjibebe

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    01:19 nimetoka kufanywa sasa nalala
  9. careenjibebe

    JamiiForums Tanzania Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Jaman! Si tunafuata matendo ya waliotutangulia?
Back
Top Bottom