1) Naona wachina wanapigwa madongo juu ya hii mikataba, kwani ni Tanzania au China ndio wameinitiate ujenzi wa hiyo bandari?
2) Wachina wanajua udhaifu wetu katika kusimamia miradi, wametupa TAZARA- imetushinda, Kiwira-imetushinda, Urafiki-imetushinda, Mang'ula machine tools-imetushinda, magari...