Recent content by Care Giver

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeichoka simu yangu ya Samsung Galaxy nataka tu ninunue Tecno munanishaurije????

    Sawa nunua tu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wale kazi kazi ilimradi pesa

    Hii nzuri ukipata bicycle ya chama ni mwendo wa kukuzunguka dar nzima
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CEO JKT Tanzania ameiabisha taasisi ya umma kwa uchawi michezoni, hafai

    Una maanisha, CEO ya Chief Executive Officer au CO ya Commanding Officer 🤔
  4. C

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Kazi ya Udereva

    Penye nia hakuna linaloshindikana.. Nipo tayari Mkuu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Kazi ya Udereva

    Wakuu... Napenda kuwasilisha maombi yangu ya kazi ya udereva katika kampuni, taasisi au Shule. Nina uzoefu wa zaidi ya kumi (10) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, C2, C3 na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja na kufuata sheria zote za usalama...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Hivi yule Bwana harusi mtarajiwa huwa anaenda kwenye Send off kufanya nini?

    NIJUAVYO MIMI: Ukilipa Mahari pale unakuwa umeshamaliza taratibu na inapaswa upewe mke wako. Lakini kutokana na uchache wa wanandugu katika hafla ya kupokea mahari ndio ukaja mfumo wa kufanya [sendoff] ili ndungu wengine waweze kushiriki pia kumuaga binti yao. 1: Katika swala la Mume kuwepo...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Ajira kampuni ya Hill

    Huku kila mtu Boss hakuna dereva boda boda Mkuu. Lakini mimi nahitaji unaweza kuniconnect!??
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP) nani ana cheo kikubwa?

    Salute ni heshma tu ambayo ata wewe barafuyamoto ukifa leo hii na CDF akajakutoa heshma za mwisho kwenye jeneza lako huku akiwa amevaa Uniform anatakiwa kupiga salute.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa anayefahamu shule nzuri maeneo ya viwege

    Juhudi ni shule ya serikali.. Nimesoma hapo pako vizuri
  10. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa anayefahamu shule nzuri maeneo ya viwege

    Karibu jirani
  11. C

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamua kuwachezesha Traffic.

    Nlijua kuna watu wana akili kama zako, kuna namba nimebadirisha hapo [emoji23]
  12. C

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamua kuwachezesha Traffic.

    Kwani tunatafutana Mkuu [emoji3]
  13. C

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamua kuwachezesha Traffic.

    umekosea na wewe kama dadako [emoji23]
Back
Top Bottom