Recent content by CardoVerli

  1. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mafundisho ya Kidini Yanavyopandikiza Chuki, Utengano, na Roho Mbaya Kwenye Jamii

    Kuna uongo ambao tumelishwa kwa miaka mingi kwamba dini zinaleta amani na upendo tu. Ukweli wa kihistoria na wa kimaandiko uko wazi: Dini nyingi zimejengwa juu ya mfumo wa kubagua watu, kueneza chuki, na kuvunja hata mahusiano ya familia Ukiacha maneno matamu jukwaani apa na ukaenda kwenye...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu ulinzi wa website nyingi za biashara bongo

    Watu wengi wanadhani ukiwa tu website online basi biashara yako iko salama mtandaoni . Ukweli uliopo ni kwamba zaidi ya 70% ya sites za biashara ndogo na za kati zimejengwa kienyeji sana kiasi kwamba zinawapotezea wateja kila siku na kuweka data zao hatarini bila wao kujua. Hapa kuna siri tatu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Komesha Ushabiki maandazi na uchawa: Ukweli Kuhusu China, Marekani, na Ndoto za Kujitegemea

    Watu wengi mtandaoni wamekuwa wakipiga kelele wakiamini kuwa China au Marekani zinaweza kusimama peke yake bila kusaidiwa na mtu, au kwamba nchi hizi zinaweza kutengana kirahisi tu. Huu ni upofu wa kifikra unaoletwa na kukosa data na kutazama dunia kupitia vioo vya simu. 1. Kwa nini Marekani...
Back
Top Bottom