Tukio la mauaji linalodaiwa kusababishwa na wivu wa mapenzi limetikisa Kijiji cha Mapinduzi, Kata ya Kigwe, Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, baada ya mwanamke mwenye umri wa miaka 58, Clementine Pius, kudaiwa kuuawa na mumewe, Raphael Ulanga kwa kushambuliwa kwa shoka kichwani.
Tukio hilo...