wewe mtoa mada hueleweki kwenye post yako unaandika hutaki picha hapa tena unataka picha mbona hatukuelewi mkuu 🤣
mi najua wewe ni mwanza dam dam lakini hicho kijijj chenu hamwezi kulinganisha na Arusha hujiulizi tangu miaka hiyo mwanza ni ya pili lakini chenga tu😢
we hujiulizi kwanini mwanza kwa takwimu ni ya pili lakini kiuhalisia kila mtu anaiongelea Arusha??
Arusha is everything after dar mkuu
kuanzia conference facilities, hospitality, ofisi za kimataifa, real estate ndio kabisa mwanza imeachwa usawa wa mbingu na ardhi
iishinde kwa kipi sasa
mwanza mnashindwa na Arusha kwa majengo mnashindwa kwa wingi wa magari mnashindwa kwa barabara za kisasa mnashindwa kwa hoteli na ofisi za kimataifa mnataka mzidiweje tena
mwanza mnachoishinda Arusha ni umaskini, kuzaliana bila mpangilio na vile vijumba vyenu kama vibiriti...
kaka tumia dalali
na madalali wa Arusha si kama wa dar wanaotaka kodi ya mwezi
hapo unampooza tu mshkaji imeisha
na pia Arusha mara nyingi wanafanya booking kabla hata jengo halijaisha
kwa sababu ukisubiri mtu atoke akuachie frem ni ngumu kwa Arusha wenye frem mjini wanapata faida mno huwa...
sasa hapo kidogo umeongea point
kila mji una uzuri wake na ubovu wake
ila haizuii ukweli kuwa kwa private sector investments Arusha iko mbali sana hata ilo jengo la hoteli apo ni la serikali hata rockcity mall pia mjengewe na serikali 🤣 ila truth be said mwanza mji flani local sana vile tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.